Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Msiogope hilo wazo nachukua pia tarifanyia kazi.Hilo dirisha liwe on mpaka October maana matokeo ya six yakianza itakuwa moto sana mwezi mmoja tu hautoshi kwa kweli
JKT haihusiani na utoaji wa mikopoMsiogope hilo wazo nachukua pia tarifanyia kazi.
Ila kama haujapiga jktvjua hupati kitu na wahakikishia
Muhimu ni kuandaa vitu vingine kama NIDA.Hilo dirisha liwe on mpaka October maana matokeo ya six yakianza itakuwa moto sana mwezi mmoja tu hautoshi kwa kweli
Bisha hivo hivoJKT haihusiani na utoaji wa mikopo