Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Unachofanya ni hivi kwenye mfumo we jaza majina matatu Kama wanavyotaka ikifika kwenye kuweka vyeti weka vyeti vyenye majina yako bila kubali kitu (yaani Kama majina yako mawili weka Wala usiwaze)
 
mmi inagoma ku log in nikireset pasword sion kitu nmechok
 
Mimi jamani nahangaika sana kujiregister inafika sehemu naingiza email yangu ninayotumia siku zote. Nasevu inanipa ujumbe unaosema email address already exists. Sasa sijui ina maana gani? Nisaidieni wadau!
 
Ushatengeneza email tayari. Bado ku-log in tu
 
Jamani last stage ni kuchagua shule lakini nimechagua Ila haijaleta ujumbe was congratulation kama wengine imeleta tu picha hii ,vip nipo sasa?
 
Attachments

  • IMG-20200910-WA0057.jpg
    45.6 KB · Views: 2
Doooh mkuu Tanzania hii ????
 
Jamani last stage ni kuchagua shule lakini nimechagua Ila haijaleta ujumbe was congratulation kama wengine imeleta tu picha hii ,vip nipo sasa?
toa kwanza hayo maspika kchwani ili tukueleweshe,kuuliza swali huku umevaa ma headphone ni dharau,sasa utanisikiaje?
 
Usifurahie tu kuwa wametoa.
Jiulize kwa nini wametoa hayo matangazo kipindi hiki cha kampeni na mwezi ujao ni uchaguzi wa viongozi.

Hili si jambo lakujiuliza hata kidogo, watu wenye sifa tajwa watume maombi ya ajira then kwenye kupiga kura watajua wenyewe maana si lazima wawachague hao waliotoa ajira.
 
Ccm acheni uhuni; mnatangaza nafasi za kazi ualimu Kwa bajeti ipi iliyopolitishwa na Bunge!?.
 
Mimi jamani nahangaika sana kujiregister inafika sehemu naingiza email yangu ninayotumia siku zote. Nasevu inanipa ujumbe unaosema email address already exists. Sasa sijui ina maana gani? Nisaidieni wadau!
ili
Tatizo mnaweka email na password za email ucreate pasaword nyingine kwa email ile ile
 
Una toa vyeti original copy, then wanavipgwa mhuri na mwana Sheria then una scan na ku vi attach kwenye hyo application
Acha kiherehere wew ujaambiwa mambo ya mwanasheria kuna matangazo uwa yanaelekeza kabisa habari za mwanasheria kama ujaambiwa acha kimbelembele
 
Hili si jambo lakujiuliza hata kidogo, watu wenye sifa tajwa watume maombi ya ajira then kwenye kupiga kura watajua wenyewe maana si lazima wawachague hao waliotoa ajira.
Jaribu kuomba ila concern yangu ni kwamba zinaweza kuwa kazi hewa halafu ikapita miezi ya uchaguzi bila watu kuajiriwa
 
Acha kiherehere wew ujaambiwa mambo ya mwanasheria kuna matangazo uwa yanaelekeza kabisa habari za mwanasheria kama ujaambiwa acha kimbelembele
Wewe kenge jiheshimu ku certify vyeti mbona Jambo la kawaida wewe Ni mwalimu wa elimu ya memkwa?
Kunguru wewe
 
Wakuu kuna Mdogo wangu namfanyia hizi application lakini yeye alishafungua account kwa kutumia simu. Kwa bahati mbaya nikijaribu kulog in kwa kutumia computer au simu hiyo hiyo mfumo unaandika ' unauthorized user" hii changamoto inatatuliwa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…