Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Utaratibu wa kisheria wa kuongeza jina la tatu kama vyeti vina majina mawili, uko vipi? Anaejua atujuze tafadhali.
 
Ok, mimi nimuhandisi lkn niko kwa wahindi, nilitaka hii kazi niombe naomba unipe tips mbili tatu.
Omba kazi uingie kwenye system, baada ya hapo ndy utajua nin uamue...mshahara ndy vile lakini watu ndy hivyo wanataman hata wapate hiyo chance, we mwenyew shahidi jinsi watu wanavyofurika kuomba hii kazi.

Ila tukumbuke hili, kwenye maisha kila mtu anapita njia yake ili afanikiwe.
 
Niliingia kwenye system yakawa yanakuja mapulizo, baadae nikafanikiwa kuingia lakini pale ili nijisajil, sehem yakuandika jina ukiandika jina system inagoma.
 
Samahani jamani Anuani ya muandikiwa ndiyo ile iliyoandikwa

Mtaa wa serikali- mtumba.
mtaa wa tamisemi
S.l.p 1923

Au Ni ile ya a chini pale iliyoandikwa

Katibu mkuu,
Ofisi ya rais tamisemi

NAOMBENI MSAADA WAKUU
 
Back
Top Bottom