Dalali Mkombozi
Member
- Jun 26, 2015
- 56
- 21
Ata watu wanaofungua akaunti mpya wanapata tatizo kama ilo, tamisemi wapo kimya sijui lengo lao nini?Wakuu kuna Mdogo wangu namanyia hizi application lakini yeye alishafungua account kwa kutumia simu. Kwa bahati mbaya nikijaribu kulog in kwa kutumia computer au simu hiyo hiyo mfumo unaandika ' unauthorized user" hii changamoto inatatuliwa vipi?
User name: S0000-0000/2015Wakuu kuna Mdogo wangu namfanyia hizi application lakini yeye alishafungua account kwa kutumia simu. Kwa bahati mbaya nikijaribu kulog in kwa kutumia computer au simu hiyo hiyo mfumo unaandika ' unauthorized user" hii changamoto inatatuliwa vipi?
Duh hzo ndio scale zenyeweKuna aliyefika hukuView attachment 1565226
Hapo wenye bachelor wataanza na TGTS D??Kuna aliyefika hukuView attachment 1565226
Degree111c n ualimu level ipi wakuu[emoji849][emoji849]
Wasikuumize kichwa kucertify Ni Kama tu utatumia copy lazima uoneshe Kama Ni chako kwa kuenda kwa mwanasheria ila Kama umetumia Chet chenyewe hakuna haja maana kile cheti pia kinamuuli was chuo na sahihi ,ukiuliza humu Kila mtu atakupa anachowaza yeye ili naye apate mfuasi wakeSasa Kama mazingira unayoishi mwanasheria ni ngumu kumpata inakuwaj dada
Jana zilikuepoMkuu badru kwenye system umeiona English Geography ama kiswahili?
Asaiv system inasumbua kwangu tuu au ad kwenu?? Inaandika temporary unavailableJana zilikuepo
Huku ipo poaAsaiv system inasumbua kwangu tuu au ad kwenu?? Inaandika temporary unavailable
Unatumia simu au??Huku ipo poa
Hapana komputerUnatumia simu au??
Dah changamoto sana natumia simuHapana komputer
Cm kwa mazingira ya mtandao itakupotezea muda nenda stationary fasta unajaza unatuliaDah changamoto sana natumia simu
Sawa mkuu,Cm kwa mazingira ya mtandao itakupotezea muda nenda stationary fasta unajaza unatulia
Haisumbui kwenye kompyutaCm kwa mazingira ya mtandao itakupotezea muda nenda stationary fasta unajaza unatulia
Sio lazima kucertify ndo maana wakiajiriwa wanaambiwa waende na vyeti originalIt's a must kufanya hivo ajira za utumishi lazima u certify vyeti, hafu ili usiteseke ku scan maanna kitaa Ni ghali download application ya clearscanner kwenye simu yako, uwe una scan, Ila Mimi kukushauri as tahadhari vyeti toa copy viwe na mhuri wa mwanasheria ndio u scan, usisahau na Cha kuzaliwa