Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utatuzi wake upojeI
I get the same message
Hata sijui nini cha kufanya. Nimegotea hapoUtatuzi wake upoje
0735 160 210JAMANI NISAIDIENI NAISI TAYALI HUU MFUMO UMESHANIENGUA[emoji24]
Msaada wakuu ,nlipoona masomo yangu husika hayapo nikaamua kujaza masomo tofauti na field yangu alimradi tu bando lisiishe bure na ilikuwa ucku wa saa tisa juzi kati,nikaona acha tu nisubmit,Sasa jana masomo yangu husika yamewekwa,ni fanyaje ili kubadilisha?Nmejaribu sioni namna ya kudelete masomo wala kuongeza mengine wala kuedit...msaaada jamani..
msijari wakuu hiyo ni kwa sababu ya network tu jaribu maramara kwa mara hasa muda huu itakubali tuHata sijui nini cha kufanya. Nimegotea hapo
Haya Ni mapungufu ya mfumo, Kuna vitu viwili masomo na choice ya shule hauwezi ku edit.JAMANI NISAIDIENI NAISI TAYALI HUU MFUMO UMESHANIENGUA[emoji24]
Msaada wakuu ,nlipoona masomo yangu husika hayapo nikaamua kujaza masomo tofauti na field yangu alimradi tu bando lisiishe bure na ilikuwa ucku wa saa tisa juzi kati,nikaona acha tu nisubmit,Sasa jana masomo yangu husika yamewekwa,ni fanyaje ili kubadilisha?Nmejaribu sioni namna ya kudelete masomo wala kuongeza mengine wala kuedit...msaaada jamani..
Okay. Asante sana. Ngoja tujaribumsijari wakuu hiyo ni kwa sababu ya network tu jaribu maramara kwa mara hasa muda huu itakubali tu
Mi nimekwama hapoNimekumbana na kitu cha namna hiyo. Nikijaribu kutumia credentials za mwaka jana naambiwa unauthorized user. What I'm I supposed to do here?
Hii hatariNdio Kwanzaa ńa log in lakini naletewa Alama hii.. Hivi nalitatuaje Hili dubwanaView attachment 1565536
Hata sijui nini cha kufanya. Nimegotea hapo
Fungua account mpyaHii error ya
Unauthorized user inatokaje wakuu?
Soma tangazo lote.Msaada wa anuani ya kutuma barua
Nimeonana mkuu Asante kwa ukumbushoSoma tangazo lote.
Umetumia Kompyuta au Simu? Tunaotumia simu inasumbua sana, nafikili labda kwasababu screen size ya simu ni ndogo.Nimefanikiwa Ku submit application muda wa SAA 5usku huu. Ni kujaribu Mara nyingi bla kukata tamaa. Hizo message za error zisikutishe...ni Ku cancel then una load tena. Nmekutana nazo sn tu....ni ishu ya mtandao tu wala hujakosea mahal. Try.....try......try and try.... Until you get it .
hongera mkuu. mimi nimejaza kila kitu naambiwa incomplete applicationNimefanikiwa Ku submit application muda wa SAA 5usku huu. Ni kujaribu Mara nyingi bla kukata tamaa. Hizo message za error zisikutishe...ni Ku cancel then una load tena. Nmekutana nazo sn tu....ni ishu ya mtandao tu wala hujakosea mahal. Try.....try......try and try.... Until you get it .
Ukifungua nyingine unaambia kuwa account already existsFungua account mpya
Eti ni lazima kuweka transcription ya chuoNimefanikiwa Ku submit application muda wa SAA 5usku huu. Ni kujaribu Mara nyingi bla kukata tamaa. Hizo message za error zisikutishe...ni Ku cancel then una load tena. Nmekutana nazo sn tu....ni ishu ya mtandao tu wala hujakosea mahal. Try.....try......try and try.... Until you get it .