wananiambia INCOMPLETE APPLICATION, PLEASE COMPLETE YOUR APPLICATION . naombeni mxaada wadauWADAU NIMEMALIZA KUJAZA BUT WANANIAMBIA INCOMPLETE. NAJARIBU KUANGALIA NAONA KILA KITU KIPO SAWA, NAOMBENI MNAMBIE KAMA KUNA HATUA NYINGINE. PIA SEHEMU YA KUSUBMIT SIIONI
Itakua labda mtandao tu haujaweka data zako vizuri ila kama umemaliza endelea ku-update ili Isome completewananiambia INCOMPLETE APPLICATION, PLEASE COMPLETE YOUR APPLICATION . naombeni mxaada wadau
Sure hicho Ni kimbelembeleAcha kiherehere wew ujaambiwa mambo ya mwanasheria kuna matangazo uwa yanaelekeza kabisa habari za mwanasheria kama ujaambiwa acha kimbelembele
AHSANTE MKUUItakua labda mtandao tu haujaweka data zako vizuri ila kama umemaliza endelea ku-update ili Isome complete
subiri uchaguliwe mkuu mbona unaharaka sana hahahhhahahahhhahahaIvi samahani naomba kufahamishwa take home ya mwalimu anayeanza kazi serekelini ni sh ngapi baada ya makato yote.
shule za kufundisha zinatakiwa ziwe ngapi?Itakua labda mtandao tu haujaweka data zako vizuri ila kama umemaliza endelea ku-update ili Isome complete
Hapo inaonesha ushatengeneza account afu unataka utengeze tena.Hii error mna solve vp wakuu? View attachment 1565512
Kama HV imefikia?WADAU NIMEMALIZA KUJAZA BUT WANANIAMBIA INCOMPLETE. NAJARIBU KUANGALIA NAONA KILA KITU KIPO SAWA, NAOMBENI MNAMBIE KAMA KUNA HATUA NYINGINE. PIA SEHEMU YA KUSUBMIT SIIONI
Itakua labda mtandao tu haujaweka data zako vizuri ila kama umemaliza endelea ku-update ili Isome complete
[/QUOTEmkuu mm imefikia APA,inamana nimemaliza ? Mana sijaambiwa SMS ya congregation kama wengne
Siyo specific question.Ivi samahani naomba kufahamishwa take home ya mwalimu anayeanza kazi serekelini ni sh ngapi baada ya makato yote.
Mimi sio mwalimu ila nimeona niulize maana wife ndo kaombasubiri uchaguliwe mkuu mbona unaharaka sana hahahhhahahahhhahaha
Kwann unataka kujua hela anayopata mtu?Mimi sio mwalimu ila nimeona niulize maana wife ndo kaomba
Safi sanaWewe kenge jiheshimu ku certify vyeti mbona Jambo la kawaida wewe Ni mwalimu wa elimu ya memkwa?
Kunguru wewe
Nimekumbana na kitu cha namna hiyo. Nikijaribu kutumia credentials za mwaka jana naambiwa unauthorized user. What I'm I supposed to do here?Hapo inaonesha ushatengeneza account afu unataka utengeze tena.
I get the same messageNdio Kwanzaa ńa log in lakini naletewa Alama hii.. Hivi nalitatuaje Hili dubwanaView attachment 1565536