Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Tuwasiliane 0735 160 210
 
Haya Ni mapungufu ya mfumo, Kuna vitu viwili masomo na choice ya shule hauwezi ku edit.
Watusaidie kwakweli maana hata Mimi Kuna shule nimeijaza kumbe iko bush Sana ila hakuna option ya kubadilisha
 
Hii error ya

Unauthorized user inatokaje wakuu?
 
Nimefanikiwa Ku submit application muda wa SAA 5usku huu. Ni kujaribu Mara nyingi bla kukata tamaa. Hizo message za error zisikutishe...ni Ku cancel then una load tena. Nmekutana nazo sn tu....ni ishu ya mtandao tu wala hujakosea mahal. Try.....try......try and try.... Until you get it .
 
Umetumia Kompyuta au Simu? Tunaotumia simu inasumbua sana, nafikili labda kwasababu screen size ya simu ni ndogo.
 
hongera mkuu. mimi nimejaza kila kitu naambiwa incomplete application
 
Eti ni lazima kuweka transcription ya chuo
 
Kwa sisi wenye bachelor za uhandisi tunajaza masomo yapi. Hafu kwenye application letter Kuna sehemu ya kuchagua chuo tunafanyaje Mana naona sioni option yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…