Ingia Website ya NECTA download form uijaze, ambatanisha cheti chako na ile equivalence ya zamani, pamoja na kitambulisho cha NIDA.
Angalia barua ya tangazo kuna namba wameweka jaribu kuwapigiaSamahani wana jamvi.
Naulizia ikiwa umekosea au kusahau password na ukashindwa kuingia kwenye mfumo wa maombi wa OTEAS. Ni namna gani unaweza kupata msaada kutoka kwa watu wa IT TAMISEMI??
Natanguliza shukrani.

Kwa kuongezea hapo, hiv kuna mtu yeyote anayo list ya masomo ambayo yapo kwenye hiyo website (i mean teaching subjects), kama ali screenshot may be
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Edit utaonaNafahamu, kuna mtu ashachagua niliona. Mimi nahitaj list ya masomo mengine maana ukishasave huwez rud nyuma
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Sasa si udiliti ili uweze kueka tenaMashkaji kashamaliza application, na mm shida yangu ilikuwa ni kuona tu masomo mengine. Ulimaliza application huwez edit labda u delete. Ndio maana nilihitaj kama mtu ali screenshot
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Siku ya kwanza kabla hawajaweka masomo ya arts,hii ndio ilikuwa orodha;Mashkaji kashamaliza application, na mm shida yangu ilikuwa ni kuona tu masomo mengine. Ulimaliza application huwez edit labda u delete. Ndio maana nilihitaj kama mtu ali screenshot
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Aisee kwanini unasema leo 😭😭hiii system nimeshaisoma vya kutosha ,, kama unahitaji ushauri na jinsi ya kuongeza probability na kupata chances nitakupa ushauri hapa...the issue unatakiwa ucheze na somo mojamoja na kucheki chances katika kila mkoa, wilaya na shule na mambo mengine madogo madogo.
Hivi huwezi delete ukaweka upyaAisee kwanini unasema leo 😭😭
Nasikia huwezi delete applications ukiomba umeomb.Hiv huwez delete ukaweka upya
Em jaribu utuambieJuzi ulikuwa unaweza ku-delete sijui kuhusu leo
2weeksHivi ajira zenyewe huwa zinatoka baada ya muda gani?
Ila button IPO ujue hiloNasikia huwezi delete applications ukiomba umeomb.
Aisee jaribu Mkuu ulete mrejesho.Ila button IPO ujue hilo