Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Samahani wana jamvi.

Naulizia ikiwa umekosea au kusahau password na ukashindwa kuingia kwenye mfumo wa maombi wa OTEAS. Ni namna gani unaweza kupata msaada kutoka kwa watu wa IT TAMISEMI??

Natanguliza shukrani.
 
Angalia barua ya tangazo kuna namba wameweka jaribu kuwapigia
 
Kwa kuongezea hapo, hiv kuna mtu yeyote anayo list ya masomo ambayo yapo kwenye hiyo website (i mean teaching subjects), kama ali screenshot may be

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Ukijaza course yako ya degree ukienda sehemu ya teaching subjects yatakuja masomo yanayoendana na course yako.​
 
Mashkaji kashamaliza application, na mm shida yangu ilikuwa ni kuona tu masomo mengine. Ulimaliza application huwez edit labda u delete. Ndio maana nilihitaj kama mtu ali screenshot

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Mashkaji kashamaliza application, na mm shida yangu ilikuwa ni kuona tu masomo mengine. Ulimaliza application huwez edit labda u delete. Ndio maana nilihitaj kama mtu ali screenshot

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Siku ya kwanza kabla hawajaweka masomo ya arts,hii ndio ilikuwa orodha;
- Plumbing
- Radio and Servicing
- Surveying
- Textile and Dressmaking
- Welding and metal fabrication
- Workshop Technology
- Information and Computer studies
- Mechanical Draughting
- Motor vehicle Mechanics
- Painting and sign writing
- Physical Education
- Physics
- Plant and Equipment Maintenance
- Chinese Language
- Electrical Engineering Science
- Fitting and Turning
- Food and Nutrition
- Foundry and balacksmith
- Basic applied Mathematics
- Auto Electrics
- Basic Mathematics
- Biology
- Brickwork and Masonry
- Building Construction
- Chemistry
- Additional Mathematics
- Advanced Mathematics
- Agricultural Science
- Architectural Draughting
 
hiii system nimeshaisoma vya kutosha ,, kama unahitaji ushauri na jinsi ya kuongeza probability na kupata chances nitakupa ushauri hapa...the issue unatakiwa ucheze na somo mojamoja na kucheki chances katika kila mkoa, wilaya na shule na mambo mengine madogo madogo.
Aisee kwanini unasema leo 😭😭
 
Back
Top Bottom