Empirically
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 238
- 87
Sawa mkuu niliisoma km option course diploma sema GPA ya Udsm ndo SinaNdio mkuu,ila vyuo vya Diploma nazani vitakuwa vingi kidogo.
Na haya majibu ya ualimu mdau anasema yanatoka baada ya wiki mbili vp una experience nayo?Ndio mkuu,ila vyuo vya Diploma nazani vitakuwa vingi kidogo.
Mkuu hujawah kusubir kazi ukiwa huna kazi uone tabu yake.Mh! Jamani hata application deadline bado haijaisha, munaulizia ajira zinatoka lini. Kuweni na subira kidogo...! Mimi ninavyofikiria post zitatoka December na kuripoti kituoni ni January.
Nauliza kwa Nia njema tu ya kujua namaanisha baada ya zoez la kuapply kuishaMh! Jamani hata application deadline bado haijaisha, munaulizia ajira zinatoka lini. Kuweni na subira kidogo...! Mimi ninavyofikiria post zitatoka December na kuripoti kituoni ni January.
N mikoa gn???kuna shule zina nafasi tatu tatu ila ni vijijini huko
Kichwa kilipaswa kusomeka "Dirisha la Rushwa ya Ualimu lafunguliwa" .Wakuu Salaam;
Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu.
Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :Mfumo wa Maombi ya Ajira .
Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa waombaji wote.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/09/2020.
All the Best.
Ningefichwa mahali pasipojulikanaKichwa kilipaswa kusomeka "Dirisha la Rushwa ya Ualimu lafunguliwa" .
Angalia jinsi details za form 4 unavyowekambona naandikiwa unauthorized user?
Zipo Mikoa gani mkuu ?kuna shule zina nafasi tatu tatu ila ni vijijini huko
msaada wako mkuu jinsi ya kuweka hizo detailsAngalia jinsi details za form 4 unavyoweka
Njoo pm nikupe msaadamsaada wako mkuu jinsi ya kuweka hizo details
Unatakiwa uende stationary yenye huduma ya internet watakusaidia kila kitu..humu utarudi kila dkmsaada wako mkuu jinsi ya kuweka hizo details
okUnatakiwa uende stationary yenye huduma ya internet watakusaidia kila kitu..humu utarudi kila dk
Andika hivi:S0000-0000/2003kama kuna mtu naye inamletea unauthorized user kwenye log in msaada please