Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Mh! Jamani hata application deadline bado haijaisha, munaulizia ajira zinatoka lini. Kuweni na subira kidogo...! Mimi ninavyofikiria post zitatoka December na kuripoti kituoni ni January.
 
Mkuu hujawah kusubir kazi ukiwa huna kazi uone tabu yake.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mh! Jamani hata application deadline bado haijaisha, munaulizia ajira zinatoka lini. Kuweni na subira kidogo...! Mimi ninavyofikiria post zitatoka December na kuripoti kituoni ni January.
Nauliza kwa Nia njema tu ya kujua namaanisha baada ya zoez la kuapply kuisha
 
Wakuu Salaam;

Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu.

Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :Mfumo wa Maombi ya Ajira .

Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa waombaji wote.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/09/2020.

All the Best.
Kichwa kilipaswa kusomeka "Dirisha la Rushwa ya Ualimu lafunguliwa" .
 
kama kuna mtu naye inamletea unauthorized user kwenye log in msaada please
 
Back
Top Bottom