Ba Bii
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 204
- 160
Mm nafikiria baada ya usajili kuisha tar 30/9/2020. Watafanya shortlist yao ndani ya mwezi Mmoja(October) then wapitie wajiridhishe tena na shortlist yao..watoe majina November mwishoni then watu wariport December...! Mtazamo wangu..tuWakuu hizi ajira za walimu mwenye utabiri lin wataajiri baada ya dirisha kufungwa?? Kabla au baada ya uchaguz??
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app