Mm nafikiria baada ya usajili kuisha tar 30/9/2020. Watafanya shortlist yao ndani ya mwezi Mmoja(October) then wapitie wajiridhishe tena na shortlist yao..watoe majina November mwishoni then watu wariport December...! Mtazamo wangu..tuWakuu hizi ajira za walimu mwenye utabiri lin wataajiri baada ya dirisha kufungwa?? Kabla au baada ya uchaguz??
Ok.sawa nafikir watalipot January bila shakaMm nafikiria baada ya usajili kuisha tar 30/9/2020. Watafanya shortlist yao ndani ya mwezi Mmoja(October) then wapitie wajiridhishe tena na shortlist yao..watoe majina November mwishoni then watu wariport December...! Mtazamo wangu..tu
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Yes nita report january Mungu akijaalia uzima.Ok.sawa nafikir watalipot January bila shaka
Anhaa ok.mkuu naona umeaply subir mambo yatasomeka tuuYes nita report january Mungu akijaalia uzima.
Matumain muhimu aiseeh ila nafikir wanaweza wakatoa before uchaguz kupunguza machungu
Nlikua naifatilia hili na nimepata yafuatayo:It's a must kufanya hivo ajira za utumishi lazima u certify vyeti, hafu ili usiteseke ku scan maanna kitaa Ni ghali download application ya clearscanner kwenye simu yako, uwe una scan, Ila Mimi kukushauri as tahadhari vyeti toa copy viwe na mhuri wa mwanasheria ndio u scan, usisahau na Cha kuzaliwa
Acheni kufanya maisha yawe magumu jameni...!Nlikua naifatilia hili na nimepata yafuatayo:
Kucertify kwa kupiga muhuri wa mwanasheria/mahakama ni kuthibitsha kuwa the document ni nakala itokanayo na cheti halisi, na hoi hufanyika endapo tu utaamua kutumia kopi, lakini kama unatumia cheti original (km ifanyikavyo sasa) kwa kuviscan, hapa haihitaji certification.
Kwann mkuu?
I know, then me cjarecommend hilo... Nlichorecomend ni kuwa tuscan vyeti Original... Ikitokea unataka utumie copy ndo certification muhimKama ukichaguliwa c utaenda na documents zako waziprove kama ni za kwako au sio za kwako?
Mwanasheria mwenyewe anataka 20, kukugongea mhuri wakati huo mm niko mtaani sina hata hiyo twenty...we we unafikiri itawezekana kweli?
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Matumain muhimu aiseeh ila nafikir wanaweza wakatoa before uchaguz kupunguza machungu
Mwanasheria ana nyenzo gani za kuthibitisha uhalali wa cheti?Nlikua naifatilia hili na nimepata yafuatayo:
Kucertify kwa kupiga muhuri wa mwanasheria/mahakama ni kuthibitsha kuwa the document ni nakala itokanayo na cheti halisi, na hoi hufanyika endapo tu utaamua kutumia kopi, lakini kama unatumia cheti original (km ifanyikavyo sasa) kwa kuviscan, hapa haihitaji certification.
Huo najua huwa lazima ku scan but it depends kwa hzo nafasiNlikua naifatilia hili na nimepata yafuatayo:
Kucertify kwa kupiga muhuri wa mwanasheria/mahakama ni kuthibitsha kuwa the document ni nakala itokanayo na cheti halisi, na hoi hufanyika endapo tu utaamua kutumia kopi, lakini kama unatumia cheti original (km ifanyikavyo sasa) kwa kuviscan, hapa haihitaji certification.
Not sureMh before uchaguzi ??
Yeah... Ingawa cfaham specifically umelenga nn kusema hvoSiku znazidi kujongea tu
Kufikia deadline y mwsho kutum maombYeah... Ingawa cfaham specifically umelenga nn kusema hvo
Kwani wanatumia vigezo gani kupangia mtu ajira?Utasikia mengi sanaaaa
Jifunze kupuuzia
dini,kabila,jinsiaKwani wanatumia vigezo gani kupangia mtu ajira?
Kuwa serious basi mambo gani haya!dini,kabila,jinsia