Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Wakuu naomben msaada kwenye teaching subject naweza kuchanganya fani na physics?? Mm nimesoma diploma ya electrical engineering sasa kwenye teaching subject naweza chagua physics na electrical installation?? Maoni yenu wadau ili kutanua wigo wa selection??
 


MIMI NAONA SAWA TU
 
Wazee leo ndio deadline ya maombi ,
Wazee wa utabiri lini post za ajira maana kitaa ni moumer
I bet, watafanya uchambuzi kwa wiki 3, I mean tar 1 hadi kwenye 20's huko October watatoa list, then wiki ya kwanza ya November, watu wataripoti vituoni
 
Hii mambo itafanyika mda c mrefu, maana alitamka mkulu mwenyewe...! Na wakichelewa atachukua hatua kali. Atauliza mnafanya nn hadi leo hamtaki kuwaajiri hao waalimu? So itakuwa chap kidogo. Nadhani by end of this month mambo yatakuwa tayari.
 
Tarehe 1 October sasa Mungu tusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…