Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Punguza siasa kama ajira zingekuwa zakutoka leo dalili zingekuwa zimeshaonekana
Hii sasa ndio siasa yaani unataka dalili au matokeo. Umeniudhi naumewacost na wenzako maana sitoi tena update.
 
Ajira 13000 walioapply 120000 ,unadhani serikali ni wajinga, watoe majina kabla hamjapiga kura,
Hivi unadhan hao laki moja watakao kosa watakuwa na moyo wa kumchagua jiwe,...tafakari
Noted.
 
Hii idadi mkulamba umebuni au n record halisi?????
Maana kubuni buni vitu utakuja kupewa kes za uchochez za kujitakia
 
Ajira 13000 walioapply 120000 ,unadhani serikali ni wajinga, watoe majina kabla hamjapiga kura,
Hivi unadhan hao laki moja watakao kosa watakuwa na moyo wa kumchagua jiwe,...tafakari
Unafikiri hata hizo ajira zisingetangazwa wasingepita kwa mawazo yako finyu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…