Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Daah kweli tusubiri tu
Kabisa. Mm nimewaza maisha maisha mpaka nimeugua sukari mwilini(yaani imepanda hadi kufikia24). So nimefikiria hivi hata nikipata hiyo kazi wakati naumwa nitaweza kuiganya? So nimeamua kurelax..! Nawashauri wenzangu tulieni mambo yatakuwa okey.
 
duuuh polee mkuu
 
Ivi wakuu nmeona baadhi ya wadau wanaidisi serikali sijajua Kama nao wanaziangalia ajira hizi za ualimu au sio lkn inawezkana wapo baadhi je huenda hii inamkera mheshimiwa Rais na akawa na watu wake humu wanachunguza alafu wakawakata kwenye ajira au haiwezekani? Nauliza tu wakuu
 
Watu kama wewe ndio mnasabaisha Tz inakua miongoni mwa nchi zenye watu wenye IQ ndogo.
 
Back
Top Bottom