Niko hapa nasubiri, ile kesho ndo leo.Possibly kesho yanaweza toka
umesikia wapi?Naskia majina yametoka tayari
Usiumize kichwa sana,huu ni kama mkekaNiko hapa nasubiri, ile kesho ndo leo.
I am just watching...!Aisee
Daah kweli tusubiri tuI am just watching...!
Kabisa. Mm nimewaza maisha maisha mpaka nimeugua sukari mwilini(yaani imepanda hadi kufikia24). So nimefikiria hivi hata nikipata hiyo kazi wakati naumwa nitaweza kuiganya? So nimeamua kurelax..! Nawashauri wenzangu tulieni mambo yatakuwa okey.Daah kweli tusubiri tu
Madam hizo za usimamizi ni Kaz kuzipata labda uwe na connectionNiliomba za kusimamia uchaguzi nikatemwa! Nasubiri za ualimu sijui nazo nitatemwa!! Lol
duuuh polee mkuuKabisa. Mm nimewaza maisha maisha mpaka nimeugua sukari mwilini(yaani imepanda hadi kufikia24). So nimefikiria hivi hata nikipata hiyo kazi wakati naumwa nitaweza kuiganya? So nimeamua kurelax..! Nawashauri wenzangu tulieni mambo yatakuwa okey.
Usikate tamaa tupo wengiNiliomba za kusimamia uchaguzi nikatemwa! Nasubiri za ualimu sijui nazo nitatemwa!! Lol
Tafuta mshikaji muanzishe familia mkuuNiliomba za kusimamia uchaguzi nikatemwa! Nasubiri za ualimu sijui nazo nitatemwa!! Lol
hahhhh
Watu kama wewe ndio mnasabaisha Tz inakua miongoni mwa nchi zenye watu wenye IQ ndogo.Ivi wakuu nmeona baadhi ya wadau wanaidisi serikali sijajua Kama nao wanaziangalia ajira hizi za ualimu au sio lkn inawezkana wapo baadhi je huenda hii inamkera mheshimiwa Rais na akawa na watu wake humu wanachunguza alafu wakawakata kwenye ajira au haiwezekani? Nauliza tu wakuu
Hapana mkuu mm nimeuliza tu kujua au nimekosea au sitakiwi kuuliza hivoWatu kama wewe ndio mnasabaisha Tz inakua miongoni mwa nchi zenye watu wenye IQ ndogo.
Yuko too frustrated mchukulie tu hivyo hivyo.Watu kama wewe ndio mnasabaisha Tz inakua miongoni mwa nchi zenye watu wenye IQ ndogo.
Yan we bwana hujiamini kabisa, kama shida inakufanya uwe muoga hivyo hata mkuu wa shule si atakupeleka sana, Nawaza tuHapana mkuu mm nimeuliza tu kujua au nimekosea au sitakiwi kuuliza hivo
Na kuchapwa vibao na afisa elimu😃😃😄Yan we bwana hujiamini kabisa, kama shida inakufanya uwe muoga hivyo hata mkuu wa shule si atakupeleka sana, Nawaza tu
Kabisa, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na kuchapwa vibao na afisa elimu[emoji2][emoji2][emoji1]