Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Nikimuona mtu anachagua Degree ya Education naona kama kapotea.
 
Kwa vile cc tumemaliza jambo lao na cc watufanyie jambo letu....! Tayari tumewapitisha kwa asilimia za kutosha.
 
Nyie si ndio mnaimbaga waisome namba

Magu nyoosha hizi pimbi zote

Usitoe ajira miaka mitano tena

Mpaka watakapojitambua ,kupiga kura
 
Nyie si ndio mnaimbaga waisome namba


Magu nyoosha hizi pimbi zote

Usitoe ajira miaka mitano tena

Mpaka watakapojitambua ,kupiga kura
Mkuu usimuombee mabaya mwenzako , huwezi jua kesho yako.
Watu washafanya maombi, soon wataiachia PDF.

Ila hofu, ni je utakuwemo ?!??!.
Pia, hofu nyingine ni miaka inayofuata ataendelea kutoa ?!, au mtasubiri mpaka 2025.
Mbele kiza, imeanza Cement 35,000,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…