pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Duuh!umemaliza mwaka gan?Bios/geo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!umemaliza mwaka gan?Bios/geo
Kuna rafik angu anajuana na MTU wa tamisemi...anasema ratio ilikuwa 1:14 yaan nafasi moja ilikuwa inapiganiwa na watu 14 kwahy ukipata katoe sadaka kubwa sana kanisani,msikini,au kwa watu wenye maitaji muhimuBios/geo
Mkuu kua mvumilivu..subiri kwanza aapishwe na baraza jipya litangazweNa anasema zitatoka lini?
Ha ha ha , M/Mungu awasaidie vijana.Na anasema zitatoka lini?
2017!Duuh!umemaliza mwaka gan?
Afadhali hii maana kuna ajira zinahitaji mtu 1 afu wanaogombania 3000, hyo 1:14 wanaunafuu ukizingatia mtu 1 aneomba nafasi 11.Kuna rafik angu anajuana na MTU wa tamisemi...anasema ratio ilikuwa 1:14 yaan nafasi moja ilikuwa inapiganiwa na watu 14 kwahy ukipata katoe sadaka kubwa sana kanisani,msikini,au kwa watu wenye maitaji muhimu
Kwa bajeti ipi?Hawa viongozi si waadjust tu waongeze idadi ya walimu maana sio kwamba shule zote walimu wanatosha shule kibao tu hazina walimu wa kutosha sema wenyewe ndo wanabania ajira
Mbona hata hiyo idadi waliosema mnasema hakuna bajet iliyopitishwa Ina maana hata hizo ajira 13K ni uongo hazitatoka?Kwa bajeti ipi?
Hii ya reli au?
Kwamba tunasubiri bure ?Kwa bajeti ipi?
Hii ya reli au?
Fanya mambo mengine, haya mambo ya ajira ni kitanzi unatafutaKwamba tunasubiri bure ?
Hiyo natambua lakini kwa vile serikali ilisema tunafany mambo mengine huku tukisubiri Mungu akibariki fresh ama sivyo poa piaFanya mambo mengine, haya mambo ya ajira ni kitanzi unatafuta
Amna bhana.....kwa Tanzania hii ya kijani.Walimu walioajiriwa ndio walimuumiza sana kichwa wakati wa kampeni kwa madai ya kuongezewa mshahara na kupandishw madaraja.alafu aongeze wengine..thubutuuuu.kwa taarifa yako mkuu hapendi watumishi.Hizo ajira msahau kwa miaka mingine mitano
Una maanisha hata hizi hatatoa au vipiWalimu walioajiriwa ndio walimuumiza sana kichwa wakati wa kampeni kwa madai ya kuongezewa mshahara na kupandishw madaraja.alafu aongeze wengine..thubutuuuu.kwa taarifa yako mkuu hapendi watumishi.Hizo ajira msahau kwa miaka mingine mitano
Hatatoa si tayari mmeshamchagua kwa kishindoUna maanisha hata hizi hatatoa au vipi
Uzuri kila mtu ataonja joto la jiwe kwa miaka mitano ijayo.Watanzania hawataki ajira wanataka maendeleo
Sasa nyie mnazan kuna ajira?
ile ilikuwa spana ya Lissu mkuu akavurugwa akajikuta kalopoka, kiuhalisia hakuna ajira
Hizo pesa bora ajenge uwanja wa mpira chato