Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Kuna rafik angu anajuana na MTU wa tamisemi...anasema ratio ilikuwa 1:14 yaan nafasi moja ilikuwa inapiganiwa na watu 14 kwahy ukipata katoe sadaka kubwa sana kanisani,msikini,au kwa watu wenye maitaji muhimu
 
Hawa viongozi si waadjust tu waongeze idadi ya walimu maana sio kwamba shule zote walimu wanatosha shule kibao tu hazina walimu wa kutosha sema wenyewe ndo wanabania ajira
 
Kuna rafik angu anajuana na MTU wa tamisemi...anasema ratio ilikuwa 1:14 yaan nafasi moja ilikuwa inapiganiwa na watu 14 kwahy ukipata katoe sadaka kubwa sana kanisani,msikini,au kwa watu wenye maitaji muhimu
Afadhali hii maana kuna ajira zinahitaji mtu 1 afu wanaogombania 3000, hyo 1:14 wanaunafuu ukizingatia mtu 1 aneomba nafasi 11.
 
Kuna tetesi nimezipata kwamba baada ya ushindi wa kishindo mkuu ameongeza ajira na sasa watakaoajiriwa ni 27 elfu badala ya 13. Let's wait and see
 
Ajira hizi tunakuelekea watu watapata psychological attention,ni walimu wengi sana wanasubilia hizi ajira na mzee anajuta kwann alizitoa wakati wa kampeni wakati halikuwa hataki...sema lisu alikuwa namsumbua sana....tutaona umhimu wa upizani baada ya miaka mitano.
 
Walimu walioajiriwa ndio walimuumiza sana kichwa wakati wa kampeni kwa madai ya kuongezewa mshahara na kupandishw madaraja.alafu aongeze wengine..thubutuuuu.kwa taarifa yako mkuu hapendi watumishi.Hizo ajira msahau kwa miaka mingine mitano
 
Amna bhana.....kwa Tanzania hii ya kijani.
 
Walimu walioajiriwa ndio walimuumiza sana kichwa wakati wa kampeni kwa madai ya kuongezewa mshahara na kupandishw madaraja.alafu aongeze wengine..thubutuuuu.kwa taarifa yako mkuu hapendi watumishi.Hizo ajira msahau kwa miaka mingine mitano
Una maanisha hata hizi hatatoa au vipi
 
Watanzania hawataki ajira wanataka maendeleo

Sasa nyie mnazan kuna ajira?

ile ilikuwa spana ya Lissu mkuu akavurugwa akajikuta kalopoka, kiuhalisia hakuna ajira

Hizo pesa bora ajenge uwanja wa mpira chato
 
Uzuri kila mtu ataonja joto la jiwe kwa miaka mitano ijayo.
 
Back
Top Bottom