Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Majina ya walimu waliochaguliwa yatatoka mwezi December 2020 mwishoni na wataripoti katika vituo vyao vya kazi January 2021 baada ya vijana kufungua shule.
 
Tusubiri wizara ipate waziri ndipo tuone Nini kitatokea

Sent from my TECNO B1p usin

Tusubiri wizara ipate waziri ndipo tuone Nini kitatokea

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app

Kwani barua yako ya kuomba ajira uli address kwa waziri au Ofisi ya katibu mkuu?

Mbona waziri wa utumishi Mh mkuchika hayupo ila shughuli za uwajiri zinaendelea kama kawaida?

Unaniaibisha mwalimu unashidwa dadavua vitu vidogo kama hivi!

Muda wowote kuanzia sasa Mchakato ukiwa tayari mtaitwa tu, ila kuripoti ktk vituo vya kazi ni mwakani 2021.
 
Okay tumsubiri katibu mkuu afanye maamuzi

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Vijana wako hoi mtaani.
Hii slogan ya vijana "tuchape kazi" hai work out.Hakuna mzunguko wa hela kabisa.
 
Yaani magufuli aache kujenga uwanja Dodoma

Barabara

Madaraja

Treni ya umeme kumalizika

Ndege

Et atoe ajira,

Magu nyoosha hizi pimbi zotee, kazi kuvaa vilemba vya ccm, kuimba wacha waisome namba

Someni hizo namba sasa

Kufika 2025 kuna watu system itawatema, hawatakuwa wanaajirika tena,

Ndio akili itakukaaa sawa nakuijua ccm vizur, huku degree yako iko kabatin, unapakia mchanga
 
Ajira million nane ujazisikia mkuu? 😃😃😃. Halafu milion sita zilishatengenezwa 2015-2020😜😜😜 kwahiyo hakuna kijana ambae hana ajira.
Mengine ni kuchafua serikali yetu tukufu🤭🤭
 
Yaani magufuli aache kujenga uwanja Dodoma

Barabara

Madaraja

Treni ya umeme kumalizika

Ndege

Et atoe ajira,

Magu nyoosha hizi pimbi zotee, kazi kuvaa vilemba vya ccm, kuimba wacha waisome namba

Someni hizo namba sasa

Kufika 2025 kuna watu system itawatema, hawatakuwa wanaajirika tena,

Ndio akili itakukaaa sawa nakuijua ccm vizur, huku degree yako iko kabatin, unapakia mchanga
Hahahahahahahah!umenichekesha mpka nataka kufa uku
 
Ajira million nane ujazisikia mkuu? [emoji2][emoji2][emoji2]. Halafu milion sita zilishatengenezwa 2015-2020[emoji12][emoji12][emoji12] kwahiyo hakuna kijana ambae hana ajira.
Mengine ni kuchafua serikali yetu tukufu[emoji2960][emoji2960]
Alishawaona nyie hamnazo tu

Anawadanganya Kama watoto

Walimu ni gongo wazi aisee, hawajui hata kuchambua mambo

Kwa akili yako ya kawaida, magufuli anaweza toa ajira za walimu?

Huyu magufuli kabisa???

Jiwe???

Atoe ajira????

Zinduka usingizini kijana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
walimu mjiandae soon majina ya kupangiwa vituo vya kazi yatatolewa

kuripoti mpaka january
 
Alishawaona nyie hamnazo tu

Anawadanganya Kama watoto

Walimu ni gongo wazi aisee, hawajui hata kuchambua mambo

Kwa akili yako ya kawaida, magufuli anaweza toa ajira za walimu?

Huyu magufuli kabisa???

Jiwe???

Atoe ajira????

Jj
Zinduka usingizini kijana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naona wewe ndio hujitambui.
 
Yaani magufuli aache kujenga uwanja Dodoma

Barabara

Madaraja

Treni ya umeme kumalizika

Ndege

Et atoe ajira,

Magu nyoosha hizi pimbi zotee, kazi kuvaa vilemba vya ccm, kuimba wacha waisome namba

Someni hizo namba sasa

Kufika 2025 kuna watu system itawatema, hawatakuwa wanaajirika tena,

Ndio akili itakukaaa sawa nakuijua ccm vizur, huku degree yako iko kabatin, unapakia mchanga
Wewe tunaita hater na mtu ambaye hujitambui kabisa
 
Back
Top Bottom