Dirisha la marekebisho bodi ya mikopo

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Habari..!!

Kwa mujibu wa tangazo la HESLB limeonesha kuwa kuanzia leo wametoa fursa kwa waombaji kurekebisha taarifa zao. Binafsi nilitumia partial transcription na sasa ninayo full ila sijapata information yoyote naona naambiwa siwezi kuedit wa kuchange kitu chochote.

Kwa yeyote aliyepata information kwenye account yako naomba atuwekee hapa, imeandikwaje ili tujue. Na kama halo ndo iko hivi kwenye account vyangu INA maana siwezi kuattach tena full transcript niliyopata?

View attachment 1586984
 
Unaposema partial transcript unamaanisha nini mkuu
 
Unaposema partial transcript unamaanisha nini mkuu
Yaan ni sehemu/kipande cha transcription ambacho hakijakamilika.. Ilikuwa haijakamilika kwa matokeo yote ya semester.. Ndo inaitwa partial/progressive transcription
 
Umejaribu kuingia tena kwenye profile yako?? Sasa hivi naona kuna notification wanatoa
Yaan ni sehemu/kipande cha transcription ambacho hakijakamilika.. Ilikuwa haijakamilika kwa matokeo yote ya semester.. Ndo inaitwa partial/progressive transcription
 
Habari wana JF, naombeni kuuliza, hivi kama kwenye application ya mkopo na mahali nilikosea na ni muhimu sana na nikaprint ile document kana kwamba sina uwezo wa ku-Edit tena, je nitafanyaje ili niweze kutatua hilo tatizo au nikifika kwenye ofisi zao wataweza kunitatulia, poleni na naombeni msaada wenu wa majibu.
 
Nz
Hapo subiri Maswala mazima[emoji1787][emoji39]
Mziki upo kwe kupewa mkopo mzee, mimi mwaka jana niliomba na sikukosea nkakosa nika-appeal nikakosa kwa hiyo hapo bado safari ipo.
 

Naombeni mawazo wakubwa, nipate atleast muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…