Dirisha la marekebisho bodi ya mikopo

Dirisha la marekebisho bodi ya mikopo

Ku upload cheti, aliyekuw ananifanyia nikiwa jeshini ali upload kingine tofaut, na pia kitambulisho cha mdhamini,
 
Hapana, mm ndo ilikuw niende mahakamani jana sasa na mdhamini mana bila mm isingewezekana ndio kwenye ukaguzi tukakuta hayo makosa,
 
Hapana, mm ndo ilikuw niende mahakamani jana sasa na mdhamini mana bila mm isingewezekana ndio kwenye ukaguzi tukakuta hayo makosa,
Kuna ujumbe wowote umeletea ili urekebishe.. Au umeambiwa uko fresh..?
 
Nimeshaona ujube nimefix, asante.. Vipi ushapata AVN!?
 
Nimeshaona ujube nimefix, asante.. Vipi ushapata AVN!?
Bado mkuu ndo nasikilizia..
But unapojaribu kujibu comment ya mtu jaribu ku-quote inakuwa rahisi kupata notification kwa MTU husika
 
Mr
Ohoo nimekupata, ume-request mtandaoni au umefikia ofisi zao!
nimerequest mtandaoni Ila naamini matokeo yangu wakishaverify wiki hii ntapata AVN..
Vp ww utawaendea ofisini kwao..?
 
Mr

nimerequest mtandaoni Ila naamini matokeo yangu wakishaverify wiki hii ntapata AVN..
Vp ww utawaendea ofisini kwao..?

Yahh nilifika, nikaambiwa jumanne itakuwa tayari, matokeo yalikua submited lakini hawakupelekewa hardcopy na hawawezi kutoa AVN no bila kujiridhisha na hardcopy kutoka institute/chuo husika..
 
Yahh nilifika, nikaambiwa jumanne itakuwa tayari, matokeo yalikua submited lakini hawakupelekewa hardcopy na hawawezi kutoa AVN no bila kujiridhisha na hardcopy kutoka institute/chuo husika..
Hardcopy ya matokeo..?
 
Hamna aise .. nimejaribu kuongea nao wanirekebishie ila sijafanikiwa . Mana nilidhani hao System Admin labda wana uwezo wa ku edit
Naona ndugu yangu nae amekumbwa na hili tatizo ameandikiwa invalid sponsorship document na kutakiwa upload kingine, changamoto ni kwakupata valid sponsorship document sijui hata ni vip nitalipatia ufumbuz
wrong sponsarship ducoment _1601978206378.jpg
 
Naona ndugu yangu nae amekumbwa na hili tatizo ameandikiwa invalid sponsorship document na kutakiwa upload kingine, changamoto ni kwakupata valid sponsorship document sijui hata ni vip nitalipatia ufumbuz
View attachment 1592033
Kuna document ipo kwenye website ya HESLB, ile ndio valid document ikiwa imejazwa na taasisi husika pamoja na kithibitishwa na mwanasheria.
 
Back
Top Bottom