Kijana alikuwa na tatizo la ada mpaka dirisha linafungwa akawa hajalipa ada ingawa alikuwa na control number. sasa amelipa karo/ada, only to find that he has been delete from the system. msaada gani anaweza kupata kurudishwa kwenye mfumo aweze kuendelea na shule?