Dirty Confession: Mpaka sasa umeshatembea na wanawake/wanaume wangapi? Mimi mpaka sasa ni wanawake 20+

Dirty Confession: Mpaka sasa umeshatembea na wanawake/wanaume wangapi? Mimi mpaka sasa ni wanawake 20+

Wana MMU poleni sana kwa majukumu ya juma zima, weekend bado changa ndio kwanza inaanza.

Leo nina confession moja ambayo sio nzuri.

First lemme declare hiki nilichokiandika sio sifa, bali ni majuto na mpaka sasa najiuliza how did it happen? Mimi ni muumini mzuri sana toka utotoni lakini kwenye uchakataji uumini umegoma kabisa kuapply.

Toka nianze uchakataji mwaka 2012 mpaka sasa 2019 nimechakata zaidi ya papuchi 20+.

List ni hii hapa:




1. Aika

2. Ashura

3. Beti

4. Sesi

5. Chriss

6. Carren

7. Feli

8. Vero

9. Tausi

10. Frida

11. Pili

12. Debora

13. Mama Bry

14. Mama Jay

15. Ester

16. Scola

17. Helen

18. Lightness

19. Latifa

20. Mpwapwa girl(simkumbuki jina)

21. e.t.c





Nimejaribu kupambana sana kuacha hii tabia ya kuonja matunda mapya kila siku lakini wapi nimeshindwa. Hapa nilipo nina list ya wanawake 3 wapya ambao wapo line tayari, achana na wale ambao tayari tushachakatana ambao nao wengi wao wanasumbua daily.

Kwa kupitia uzi huu, naweka naweka agano sitaleta mazoea na kiumbe mpya wa kike yeyote nabaki na mtarajiwa wangu tuu. Sitasahau siku mtarajiwa wangu huyu alipofuma lundo la meseji za mahaba za wanawake kadha wa kadha, alilia sana mbele yangu lakini kwa uwezo wa mwenyezi Mungu aknisamehe na maisha yameendelea kama kawaida.

Naomba Mwenyezi Uliye Muweza wa Yote nisaidie niweze kupambana na hili janga nililonalo, Ameen.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Vipi kwa upande wako umeshachakata/kuchakatwa na wangapi?
ukitaka kumridhisha mwanamke akuone mwema hauchepuki ndio atakuchoka atakuacha....ajue una uwezo wa kuchepuka ajue unachepuka ila akose ushahidi......ukikaa kizembe imekula kwao....wewe hao t kuna mtu ana 700+ ....ukitaka kulia lia we poa uone. unadhani wanawake wanapenda good guy.....good looking man....kudaadeki.....
 
Back
Top Bottom