mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Nani akusikilize? Imeshawekwa kwamba mwanaume dhaifu anadharauliwa, kila mtu anaamini hivi.tunaambiana ukweli bwashe kuliko kugugumia ndani kwa ndani bora utafute mtu uteme nyongo hiyo mapema kabla haijageuka sumu
sawa buroooo endelea kujifariji kwa nje kumbe ndani umebeba zigo la maumivu ukihofia kudharaulikaNani akusikilize? Imeshawekwa kwamba mwanaume dhaifu anadharauliwa, kila mtu anaamini hivi.
Mwanaume unatakiwa uweze kila kitu, ukilalamika hata kidogo utaambiwa "wewe ni mwanaume bwana..."
Na suala la kufa mapema ni asili halilazimishwi, kwa wanyama wengi madume hufa mapema.
Toka ukiwa mtoto unaambiwa jikaze wewe,mwanaume huwa halii, amka wewe ni jembe. Hzo kauli zinakaa hata ukiwa mkubwaNani akusikilize? Imeshawekwa kwamba mwanaume dhaifu anadharauliwa, kila mtu anaamini hivi.
Mwanaume unatakiwa uweze kila kitu, ukilalamika hata kidogo utaambiwa "wewe ni mwanaume bwana..."
Na suala la kufa mapema ni asili halilazimishwi, kwa wanyama wengi madume hufa mapema.
hahaa mwanaume akikushirikisha changamoto yake fulani ambapo tuseme atahitaji kiasi flani cha fedha, wewe kama KE utampa?sawa buroooo endelea kujifariji kwa nje kumbe ndani umebeba zigo la maumivu ukihofia kudharaulika
hofu ndio itakayokumaliza
inategemea na changamoto yenyewe kama inauzitohahaa mwanaume akikushirikisha changamoto yake fulani ambapo tuseme atahitaji kiasi flani cha fedha, wewe kama KE utampa?
mimi nahisi muda unavyozidi kwenda nazidi kuwa kama robotMaumivu ni mengi na umri unavozidi kwenda ndivyo yanazaidi☑️
wanaume hawapo hivyo, hiyo ni mentality yenu wanawake kujaribu kutufikiria sisi, mwanamke akiwa na kitu kinamtaka akiseme tuu, ila sisi unaweza hadi ukakisahau kwasababu hakuna ule msukumo wa ku share hata kidogotunaambiana ukweli bwashe kuliko kugugumia ndani kwa ndani bora utafute mtu uteme nyongo hiyo mapema kabla haijageuka sumu
Utasema mambo ya platinum 😀
Kwanini?mimi nahisi muda unavyozidi kwenda nazidi kuwa kama robot
Yooo🥰Wewe kwangu ni Platinum, nakuheshimu sana. Hujui tuu.
kitu kisicho na hisiaKwanini?
Robot ni kitu gani?
Kwahiyo wewe huna hisia kabisakitu kisicho na hisia
ninazo lakini umri unavyozidi kwenda zinaoungua, kile kina cha kupenda kina shuka. kile kina cha kuumizwa na jambo fulani kina shukaKwahiyo wewe huna hisia kabisa
Tumepoa Mr miongozo