Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unyama sana hizo chumaHivi karibuni soko la Land rover discovery 3 limekua ghafla nchini. Je tuwaambie ubovu wa hizo gari au tukauke tu?
Unyama sana hHivi karibuni soko la Land rover discovery 3 limekua ghafla nchini. Je tuwaambie ubovu wa hizo gari au tukauke tu?
Sio kweli mbona mimi haijawahi kunitokea?Gari hizo ni unreliable. Ukicheza unalala njiani
Unyama sana hHivi karibuni soko la Land rover discovery 3 limekua ghafla nchini. Je tuwaambie ubovu wa hizo gari au tukauke tu?
Kundi la pili ni lile linanunua gari nje ya uwezo kulitunza, kuli "maintain" na kundi la tatu ni lile linanunuaga magari bila kujua linataka nini kwenye gari husika📌🔨Watu huwa mnanunua gari zimeshakuwa mbovu toka kwa mmiliki asieliweza gari husika. Kundi la pili ni lile linanunua gari nje ya uwezo kulitunza, kuli "maintain" na kundi la tatu ni lile linanunuaga magari bila kujua linataka nini kwenye gari husika! Kuna uwezo wa kununua gari flani na uwezo wa kulitunza gari flani, wabongo wengi wanadesa hapa.
Disc 3 and upgrade Disc 4 ni gari kama unakipato cha kubabaisha lazima uliharibu na kuliua. Wenye kuelewa magari wameshanielewa.
Gari hizo ni unreliable. Ukicheza unalala njiani

Sio kweliNi magari ambayo nafikiri yanaongoza kupaki gerage.
Hebu elezea kidogo.Gari hizo ni unreliable. Ukicheza unalala njiani
Mkuu Tafuta gari inayoendana na kipato chako.Yanaongeza umaskini
Ina tembea hata na tairi tatu hiyo 🔥Nimeamua kutafuta Suzuki escudo zile fupi
Sure KiongoziIna tembea hata na tairi tatu hiyo 🔥