Discovery 3 inashobokewa sana

Discovery 3 inashobokewa sana

Watu huwa mnanunua gari zimeshakuwa mbovu toka kwa mmiliki asieliweza gari husika. Kundi la pili ni lile linanunua gari nje ya uwezo kulitunza, kuli "maintain" na kundi la tatu ni lile linanunuaga magari bila kujua linataka nini kwenye gari husika! Kuna uwezo wa kununua gari flani na uwezo wa kulitunza gari flani, wabongo wengi wanadesa hapa.

Disc 3 and upgrade Disc 4 ni gari kama unakipato cha kubabaisha lazima uliharibu na kuliua. Wenye kuelewa magari wameshanielewa.
Umeeleweka. Uzi ufungwe hakuna comment zaidi.

Kama huna hela acha kununua gari vyombo vya usafiri vipo vingi kuna

Baiskeli Pikipiki nunua hizo kwenye taa utasimama tu. Acha kulazimisha mambo
 
Back
Top Bottom