Discovery 3 inashobokewa sana

Watu huwa mnanunua gari zimeshakuwa mbovu toka kwa mmiliki asieliweza gari husika. Kundi la pili ni lile linanunua gari nje ya uwezo kulitunza, kuli "maintain" na kundi la tatu ni lile linanunuaga magari bila kujua linataka nini kwenye gari husika! Kuna uwezo wa kununua gari flani na uwezo wa kulitunza gari flani, wabongo wengi wanadesa hapa.

Disc 3 and upgrade Disc 4 ni gari kama unakipato cha kubabaisha lazima uliharibu na kuliua. Wenye kuelewa magari wameshanielewa.
 
Hivi karibuni soko la Land rover discovery 3 limekua ghafla nchini. Je tuwaambie ubovu wa hizo gari au tukauke tu?
Unyama sana h
Kundi la pili ni lile linanunua gari nje ya uwezo kulitunza, kuli "maintain" na kundi la tatu ni lile linanunuaga magari bila kujua linataka nini kwenye gari husika📌🔨
 
Ni magari ambayo nafikiri yanaongoza kupaki gerage.
Sio kweli
 
Jumatatu iliyopita nikicheki kipindi cha The Gear cha Bwana Jerry kwenye Clouds TV. Hizi Discovery zipo nyingi sana pale Garage na nikiangalia namna zinavyopigwa vumbi na mazingira ya ile karakana, nikawaza tu hivi zile chuma zitapona kweli au ndiyo zitapata nafuu ya kudunda road kwa siku kadhaa tu. Niliona kuna G-Wagon Brabus pia ipo pale inapigwa vumbi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…