Ungepeleka kwenye jukwaa la lugha
malaya ni mtu mwenye ku sex na watu mbalimbali
sio kwa pesa
ikiwa kwa pesa anakuwa changudoa
halafu kuna kahaba
kahaba ndo changudoa
Kahaba, Malaya, Changuduo; anayejiuza, yaani anaendesha maisha yake kwa shughuli ya kugawa uroda
Muasherati, Mzinzi; Anayefanya ngono nje ya mausiano au anayefanya ngono na watu tofauti tofauti hata kama hana mupenzi
Apply to both gender
The Boss Kahaba, Malaya na Mwasherati ni kitu kimojaUngepeleka kwenye jukwaa la lugha
malaya ni mtu mwenye ku sex na watu mbalimbali
sio kwa pesa
ikiwa kwa pesa anakuwa changudoa
halafu kuna kahaba
kahaba ndo changudoa
Kiwatengu, hakika hili ni swali gumu haswa. Je Malaya ni yule anaevizia wanaume kwenye mabaa, au yule anaeuza huku amevaa ushungi au wale dada zetu wenye kugawa Mali zao kwa ajili ya kupata cheo, good grades n.k
Malaya ni nani?
The Boss Kahaba, Malaya na Mwasherati ni kitu kimoja
Kahaba* nm ma [a-/wa-] = prostitute. ukahaba
- malaya nm [a-/wa-] = prostitute,
Prostitute = malaya; kahaba.
- vt 1 (reflex) fanya ukahaba. 2 tumia vibaya. prostitution n umalaya; ukahaba.
Asherati* nm [a-/wa-] prostitute. (Kar)
Source": TUKI KAMUSI - Dictionary
Copy: kiwatengu . paulss
Kahaba na changudoa ni maneno mawili yenye maana moja sanifu japo utamkwaji wake ni tofauti......yaan(its a two different words but its got a same meaning while its only differ in pronounciation) ni wanawake wanaouza miili yao kwa kupata pesa yaani ndo kazi inayowaeka mjini na kuwaingizia kipato,,...wakati neno malaya limebase kote kote...yaan linatumika kotekote...its a common word kwa mwanamke au mwanaume,,...likiwa na maana ya kukosa uaminiifu ktk mapenzi na kua na mpenz zaid ya mmoja kutokana na tabia binafsi ya mtu
The Boss Kahaba, Malaya na Mwasherati ni kitu kimoja
Kahaba* nm ma [a-/wa-] = prostitute. ukahaba
- malaya nm [a-/wa-] = prostitute,
Prostitute = malaya; kahaba.
- vt 1 (reflex) fanya ukahaba. 2 tumia vibaya. prostitution n umalaya; ukahaba.
Asherati* nm [a-/wa-] prostitute. (Kar)
Source": TUKI KAMUSI - Dictionary
Copy: kiwatengu . paulss
Yani mtu ukiwa na mahusiano na watu wawili kwa wakati mmoja jua wewe ni malaya! Uwe me au ke!
Malaya ni mtu yeyote mwenye kawaida ya kufanya ngono na mtu zaidi ya mmoja, kinyume cha sheria.
Kahaba/changudoa ni yule anayefanzwa kwa malipo.
Kahaba/changudoa ni malaya automatically lakini malaya sio lazima awe kahaba/changudoa.
asante mkuu andate kwa maelezo yako but naona umekaa upande wa kutofautisha..
Kuna hoja nyingine hapo juu ambayo hujaizungumzia, let me ask you..
Hayo maneno niliyoweka kwa red hapo juu
Je, huyo mtu mwenye hiyo tabia anaweza kuitwa na mtu yoyote? hata wale ambao hawajawahi kumlala\
Yah, anaweza kuitwa hivyo na mtu yeyote yule hata ambaye hajawahi kumlala.
Kumlala au kutokumlala hakukuzuii kumuita malaya 'malaya'. Na kumlala mwanamke hakukuhalalishii kumuita mwanamke malaya.
Tunawalala wanawake zetu lakini je hi staha kuwaita malaya kwa sababu tunalala nao?