Discussion: Who is Prostitute?

Discussion: Who is Prostitute?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
The title above is concerned!

Malaya ni nani?
Ni mwanaume au mwanamke?

Je, kila mtu anaweza kumwita mwanamke/mwanaume malaya?
Hata kama hawajawahi kukutana naye kimwili?

Kwa upande wangu huwa naona vigumu kumwita mwanamke malaya wakati sijawahi mgegeda...

Nini kipimo cha kuwa malaya?
kuna wadada wanapenda sana pesa tena kwa uwazi kabisa..

Hata hapa JF wapo...

je, hawa ni malaya?

lastly..kuna tofauti gani kati ya majina haya hapa chini na malaya?
i. kahaba
ii. changudoa..

Hebu tujadiliane..

Ladies & Gentlemen..
Kama itakukera just jump to another thread
 
Ungepeleka kwenye jukwaa la lugha
malaya ni mtu mwenye ku sex na watu mbalimbali
sio kwa pesa
ikiwa kwa pesa anakuwa changudoa
halafu kuna kahaba
kahaba ndo changudoa
 
Ungepeleka kwenye jukwaa la lugha
malaya ni mtu mwenye ku sex na watu mbalimbali
sio kwa pesa
ikiwa kwa pesa anakuwa changudoa
halafu kuna kahaba
kahaba ndo changudoa

ahaa..asante kwa ushauri! so malaya haina gender!! boy or girl can be malaya
 
Kahaba, Malaya, Changuduo; anayejiuza, yaani anaendesha maisha yake kwa shughuli ya kugawa uroda

Muasherati, Mzinzi; Anayefanya ngono nje ya mausiano au anayefanya ngono na watu tofauti tofauti hata kama hana mupenzi

Apply to both gender
 
Kahaba na changudoa ni maneno mawili yenye maana moja sanifu japo utamkwaji wake ni tofauti......yaan(its a two different words but its got a same meaning while its only differ in pronounciation) ni wanawake wanaouza miili yao kwa kupata pesa yaani ndo kazi inayowaeka mjini na kuwaingizia kipato,,...wakati neno malaya limebase kote kote...yaan linatumika kotekote...its a common word kwa mwanamke au mwanaume,,...likiwa na maana ya kukosa uaminiifu ktk mapenzi na kua na mpenz zaid ya mmoja kutokana na tabia binafsi ya mtu
 
Kahaba, Malaya, Changuduo; anayejiuza, yaani anaendesha maisha yake kwa shughuli ya kugawa uroda

Muasherati, Mzinzi; Anayefanya ngono nje ya mausiano au anayefanya ngono na watu tofauti tofauti hata kama hana mupenzi

Apply to both gender
Ungepeleka kwenye jukwaa la lugha
malaya ni mtu mwenye ku sex na watu mbalimbali
sio kwa pesa
ikiwa kwa pesa anakuwa changudoa
halafu kuna kahaba
kahaba ndo changudoa
The Boss Kahaba, Malaya na Mwasherati ni kitu kimoja

Kahaba* nm ma [a-/wa-] = prostitute. ukahaba

  • malaya nm [a-/wa-] = prostitute,

Prostitute
= malaya; kahaba.

  • vt 1 (reflex) fanya ukahaba. 2 tumia vibaya. prostitution n umalaya; ukahaba.

Asherati* nm [a-/wa-] prostitute. (Kar)

Source": TUKI KAMUSI - Dictionary

Copy: kiwatengu . paulss
 
Kiwatengu, hakika hili ni swali gumu haswa. Je Malaya ni yule anaevizia wanaume kwenye mabaa, au yule anaeuza huku amevaa ushungi au wale dada zetu wenye kugawa Mali zao kwa ajili ya kupata cheo, good grades n.k

kwa kuwa hapa kuna wengi ngoja tuone mawazo yake..
 
The Boss Kahaba, Malaya na Mwasherati ni kitu kimoja

Kahaba* nm ma [a-/wa-] = prostitute. ukahaba

  • malaya nm [a-/wa-] = prostitute,

Prostitute
= malaya; kahaba.

  • vt 1 (reflex) fanya ukahaba. 2 tumia vibaya. prostitution n umalaya; ukahaba.

Asherati* nm [a-/wa-] prostitute. (Kar)

Source": TUKI KAMUSI - Dictionary

Copy: kiwatengu . paulss

hapo sasa kuna wadau nawangoja hapa tuone maoni yao
 
Yani mtu ukiwa na mahusiano na watu wawili kwa wakati mmoja jua wewe ni malaya! Uwe me au ke!
 
Kahaba na changudoa ni maneno mawili yenye maana moja sanifu japo utamkwaji wake ni tofauti......yaan(its a two different words but its got a same meaning while its only differ in pronounciation) ni wanawake wanaouza miili yao kwa kupata pesa yaani ndo kazi inayowaeka mjini na kuwaingizia kipato,,...wakati neno malaya limebase kote kote...yaan linatumika kotekote...its a common word kwa mwanamke au mwanaume,,...likiwa na maana ya kukosa uaminiifu ktk mapenzi na kua na mpenz zaid ya mmoja kutokana na tabia binafsi ya mtu

Hebu soma hapa halafu uniambie tena kitu

The Boss Kahaba, Malaya na Mwasherati ni kitu kimoja

Kahaba* nm ma [a-/wa-] = prostitute. ukahaba

  • malaya nm [a-/wa-] = prostitute,

Prostitute
= malaya; kahaba.

  • vt 1 (reflex) fanya ukahaba. 2 tumia vibaya. prostitution n umalaya; ukahaba.

Asherati* nm [a-/wa-] prostitute. (Kar)

Source": TUKI KAMUSI - Dictionary

Copy: kiwatengu . paulss
 
Yani mtu ukiwa na mahusiano na watu wawili kwa wakati mmoja jua wewe ni malaya! Uwe me au ke!

Malkia kan katika hoja yangu hapo juu kuna mambo mengi nimeyataja zaidi ya maana na nani wakuitwa malaya..

Sasa wewe ni she, unaweza kumwita He ambaye hajawahi kukugegeda hata mara moja malaya?
 
Hii hapo chini ndio major characteristics za prostitute huku ughaiibuni: fishnet stockings, long shoes, short skirt na nywele za ajabu. Lakini nowdays tunajuwa kwamba picha kama hii haisemi ukweli. Siku hizi kuna maPimp ambao ndio wanawauza wakina dada na kuchukua pesa, kuna ONLINE Prostitute ambao unabook na kulipa kwa credit Card, halafu unaletewa huduma.

ZAIDI ya hapo kuna ESCORT SERVICES. Kumbuka kwamba hawa makahaba wa kwenye net hauwezi kuwajuwa unless wewe ni mteja. Wengi wao ni wakina mama wa nyumbani na wenye heshima zao, lakini ikifika usiku wanageuka mamumiani.
Swali ni je who is a prostitute ? Ni mara ngapi umeona au kusikia kwamba mmke wa fulani kapigwa na mpira na watoto na bakuli za vyakula zikaanguka. Kumbe alikuwa anampelekea hawara yake msosi ? Je na huyu tunamuweka kundi gani ? Na wale wanaoshikwa makalio na matiti hovyo makazini huku wakitabasamu ni wakina nani ?

images
 
Malaya ni mtu yeyote mwenye kawaida ya kufanya ngono na mtu zaidi ya mmoja, kinyume cha sheria.
Kahaba/changudoa ni yule anayefanzwa kwa malipo.
Kahaba/changudoa ni malaya automatically lakini malaya sio lazima awe kahaba/changudoa.
 
kiswahili kina mbwembwe hatari yaani unashindwa kutofautisha vineno vidogo tu..
 
kiswahili kina mbwembwe hatari yaani unashindwa kutofautisha vineno vidogo tu..
ndetichia hebu tofautisha wewe nione?
na hapo juu lengo langu siyo kutofautisha tu!
Ni pamoja na maelezo yangu inakuwaje wewe uone kutofautisha maneno tu..
 
Last edited by a moderator:
Malaya ni mtu yeyote mwenye kawaida ya kufanya ngono na mtu zaidi ya mmoja, kinyume cha sheria.
Kahaba/changudoa ni yule anayefanzwa kwa malipo.
Kahaba/changudoa ni malaya automatically lakini malaya sio lazima awe kahaba/changudoa.

asante mkuu andate kwa maelezo yako but naona umekaa upande wa kutofautisha..
Kuna hoja nyingine hapo juu ambayo hujaizungumzia, let me ask you..
Hayo maneno niliyoweka kwa red hapo juu
Je, huyo mtu mwenye hiyo tabia anaweza kuitwa na mtu yoyote? hata wale ambao hawajawahi kumlala\
 
Last edited by a moderator:
Malaya anayeanza (first degree), changudoa (second degree) na kahaba ni aliyebobea/kubuhu (PHD)
 
asante mkuu andate kwa maelezo yako but naona umekaa upande wa kutofautisha..
Kuna hoja nyingine hapo juu ambayo hujaizungumzia, let me ask you..
Hayo maneno niliyoweka kwa red hapo juu
Je, huyo mtu mwenye hiyo tabia anaweza kuitwa na mtu yoyote? hata wale ambao hawajawahi kumlala\

Yah, anaweza kuitwa hivyo na mtu yeyote yule hata ambaye hajawahi kumlala.
Kumlala au kutokumlala hakukuzuii kumuita malaya 'malaya'. Na kumlala mwanamke hakukuhalalishii kumuita mwanamke malaya.
Tunawalala wanawake zetu lakini je hi staha kuwaita malaya kwa sababu tunalala nao?
 
Mkuu, utamwitaje mwanamke ambaye hujamlala malaya? labda uniambie kahaba/changudoa who are doing business
 
Back
Top Bottom