Disemba 19 kama leo mwaka fulani, Hayati Magufuli alilipa mishahara kwa watumishi wa umma

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika.

Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio

Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri.

Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na mwaka mpya 2025

Povu ruska
 
usjali mkiu kopa hata kwa mangi Mchele,maharage,pesa mshahara ukitokq utarejesha .mradi watoto washibe
Pembejeo za Nini Tena sikukuu...maharage sio mboga ni pembejeo za Kilimo sio nzuri Kwa afya ... wenyewe mnaita maini ya shamba ..daaah
 
Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika.

Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio

Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri.

Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na mwaka mpya 2025

Povu ruska
Tartiiibu mtakiri......bila kushurutishwa
 
Aunge mshahara wa Disemba na Januari ailipe kwa pamoja Januari 25.
 
Mama Nchi imemshinda.Anahaha kukopa Kwa wafanyabiashara Hela za kuwalipa watumishi
 
Tulisema kuhusu Jambo hili mapema, na hapo bado hata wasipofanya sherehe za Uhuru ila kwa jinsi wanavyoramba asali hata defender za polisi zitakosa mafuta!
 
Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika.

Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio

Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri.

Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na mwaka mpya 2025

Povu ruska
Inawezekana mwaka huu ikachelewa kidogo wanaongeza kakitu kidogo kasikukuu...
 
Nyuzi za mishahara zimekuwa nyingi leo 😹
Wakuu tulieni mishahara mtaingiziwa tarehe maalumu..!!

Madeni yatawanyonga na bado watoto wanataka nguo za sikukuu 😹😹😹
 
Back
Top Bottom