min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mkuu mbona unatusimanga?Nyuzi za mishahara zimekuwa nyingi leo 😹
Wakuu tulieni mishahara mtaingiziwa tarehe maalumu..!!
Madeni yatawanyonga na bado watoto wanataka nguo za sikukuu 😹😹😹