Pembejeo za Nini Tena sikukuu...maharage sio mboga ni pembejeo za Kilimo sio nzuri Kwa afya ... wenyewe mnaita maini ya shamba ..daaahusjali mkiu kopa hata kwa mangi Mchele,maharage,pesa mshahara ukitokq utarejesha .mradi watoto washibe
Tartiiibu mtakiri......bila kushurutishwaHayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika.
Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio
Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri.
Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na mwaka mpya 2025
Povu ruska
Tulisema kuhusu Jambo hili mapema, na hapo bado hata wasipofanya sherehe za Uhuru ila kwa jinsi wanavyoramba asali hata defender za polisi zitakosa mafuta!Mama Nchi imemshinda.Anahaha kukopa Kwa wafanyabiashara Hela za kuwalipa watumishi
Huku mtaani washakiri.Tartiiibu mtakiri......bila kushurutishwa
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa.Aunge mshahara wa Disemba na Januari ailipe kwa pamoja Januari 25.
Inawezekana mwaka huu ikachelewa kidogo wanaongeza kakitu kidogo kasikukuu...Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika.
Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio
Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri.
Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na mwaka mpya 2025
Povu ruska
We n yupi kati yao A au WNimeongea na Mama atawalipa kesho.
Vipato nje ya mshahara tunavyo vingi sana lakini mishahara ni haki yetu.Sifa za kijinga hatuzitaki, acheni ufala. Mahangaiko ni vilevile tu, tafuteni vipato nje ya mshahara.