Disemba 19 kama leo mwaka fulani, Hayati Magufuli alilipa mishahara kwa watumishi wa umma

Nyuzi za mishahara zimekuwa nyingi leo ๐Ÿ˜น
Wakuu tulieni mishahara mtaingiziwa tarehe maalumu..!!

Madeni yatawanyonga na bado watoto wanataka nguo za sikukuu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mkuu mbona unatusimanga?
 
Nyuzi za mishahara zimekuwa nyingi leo ๐Ÿ˜น
Wakuu tulieni mishahara mtaingiziwa tarehe maalumu..!!

Madeni yatawanyonga na bado watoto wanataka nguo za sikukuu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
na bado njanuari ada unifomu zinakuhitaji ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ