Disemba ndio hiyoooo!!!!

Disemba ndio hiyoooo!!!!

humphrey_on_th_forum

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
278
Reaction score
233
Hi Jamii Forums members,

5224b3c070dcdee7d93737144c7c16ae.jpg


Ndugu zangu mwezi December ndio huooo ushafika, huu ni muda mzuri kwetu sote kujitathmini ni yepi ambayo bado hatujayakamilisha mpaka sasa ikiwa ni malengo tuliojiwekea kwa mwaka huu unaofika tamati sasa.

Ikiwa hukufikia malengo uliojiwekea ni muda kuweka sawa mipango yako ili usifanye tena kosa kwa mwaka 2017.

Huu ni muda pia wa kusameheana kwa pale tulipotofautiana.
 
Back
Top Bottom