Dish za ku-band za cm 120

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Jamani wanaJF naombeni msaada wenu kwa anayefahamu wapi zinapatikana dish za ku-band za ukubwa wa cm 120 na gharama yake ni kati ya sh ngapi maana nilizunguka maduka yote mwanza lakini sikufanikiwa!
 
Nenda Teksat Electronics pale mtaa wa Zanaki, jirani na Znzbarhotel, bei utajua huko!
 
Samahani bwana unaweza kuwa na contact zao unisaidie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…