KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Jamani wanaJF naombeni msaada wenu kwa anayefahamu wapi zinapatikana dish za ku-band za ukubwa wa cm 120 na gharama yake ni kati ya sh ngapi maana nilizunguka maduka yote mwanza lakini sikufanikiwa!