Dishdasha la harusi

Bellami

Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
53
Reaction score
17
Nakumbuka siku moja nilikosa nguo ya kuvaa kwa harusi na nilialikwa kitambo na mchango nilitoa, siku yenyewe ya harusi ndio nikakumbuka kua kuna shughuli na muda haukua rafiki...basi nikajivalia dishdasha langu hili hapa na nilikua nikiulizwa na kila mtu umenunua wapi ???? Usiwe miongoni mwa hao waulizao jipatie la kwako kwa elf 45 tu, wa Dar delivery ipo mikoani kote natuma... karibuni sana 0752976792
 
Karibuni wateja mwaweza nitext hata whatsap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…