Dishi la DSTV linahitajika haraka

Dishi la DSTV linahitajika haraka

chrisbleez

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
752
Reaction score
1,239
Habari zenu!

Natafuta dishi la DSTV ninauhitaji nalo kwa haraka sana mwenye nalo tuchekiane bei ni maelewano tu.

0655 780 270

Locations DSM
 
basi tafuta dish lolote tu mkuu, usichanganywe na maandishi ya Dstv, Azam au Startimes. Dish ni Dish tu cha kuzingatia ni Size ( Kipenyo chake)

Ni kweli niliwahi kusikia hii kitu kwa mafundi kadhaaa wakinishauri kuwa naweza kutafuta dish lolote na dish likafanya kazi
 
Ni kweli niliwahi kusikia hii kitu kwa mafundi kadhaaa wakinishauri kuwa naweza kutafuta dish lolote na dish likafanya kazi

Baba dishi ni dishi tuu, usijale yale mapichapicha/ matangazo pale cha msingi ni size ya Dish. Pili zile KU LNB/ Kikombe kidogo Vyote vinaingiliana haijalishi. Kitu unique ni King'amuzi tuu
 
Risiti ya EFD aliyonunulia anayo? Mambo ya kulala selo kwa Mali ya wizi sio kabisa.

Wale jamaa wa dstv wanaouza njiani au wengine ukiwapigia simu ndio wanakuletea na kukufungia wanatoa risit za dstv?
 
Back
Top Bottom