mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Azam ukifunga kwenye Dstv, zuku, startimes na hata canal inafanya kazi vizuri tu.
Ila sio startimes au dish la zuku ufunge kwenye azam, dstv au canal.
Startimes unaweza ukafunga kwenye zuku tu.
Ila sio startimes au dish la zuku ufunge kwenye azam, dstv au canal.
Startimes unaweza ukafunga kwenye zuku tu.