chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
Dish peke yake mkuuDish peke yake au Full set
kuna mwanangu anauza ngoja nimcheki nimpe namba yako...yupo Manzese kwa bakhresaDish peke yake mkuu
Dish peke yake mkuu
Sawa mkuu nitafurahi sana nikipata🙏kuna mwanangu anauza ngoja nimcheki nimpe namba yako...yupo Manzese kwa bakhresa
Kweli?basi tafuta dish lolote tu mkuu, usichanganywe na maandishi ya Dstv, Azam au Startimes. Dish ni Dish tu cha kuzingatia ni Size ( Kipenyo chake)
Risiti ya EFD aliyonunulia anayo? Mambo ya kulala selo kwa Mali ya wizi sio kabisa.kuna mwanangu anauza ngoja nimcheki nimpe namba yako...yupo Manzese kwa bakhresa
una shilingi ngapi nikuachie la kwangu mkuu
Acha kumuongopea ndugu yako.uwezi funga dishi la star times kwenye azam au dstvbasi tafuta dish lolote tu mkuu, usichanganywe na maandishi ya Dstv, Azam au Startimes. Dish ni Dish tu cha kuzingatia ni Size ( Kipenyo chake)
Unaweza kazi ya dish ni kukusanya mawimbi na king'amuzi hakijui unatumia dish gani mradi kimenasa mawimbi husika.La msingi utumie ukubwa wa dish linalopendekezwa na kampuni husika.Acha kumuongopea ndugu yako.uwezi funga dishi la star times kwenye azam au dstv
Acha kumuongopea ndugu yako.uwezi funga dishi la star times kwenye azam au dstv
basi tafuta dish lolote tu mkuu, usichanganywe na maandishi ya Dstv, Azam au Startimes. Dish ni Dish tu cha kuzingatia ni Size ( Kipenyo chake)
Ni kweli niliwahi kusikia hii kitu kwa mafundi kadhaaa wakinishauri kuwa naweza kutafuta dish lolote na dish likafanya kazi
Risiti ya EFD aliyonunulia anayo? Mambo ya kulala selo kwa Mali ya wizi sio kabisa.
Wale jamaa wa dstv wanaouza njiani au wengine ukiwapigia simu ndio wanakuletea na kukufungia wanatoa risit za dstv?
Chukua iyo startimes alafu nenda kafunge kwenye iyo dstv alafu leta mrejeshoNakuonea huruma sana
Chukua iyo startimes alafu nenda kafunge kwenye iyo dstv alafu leta mrejesho