mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Nenda kafunge iyo startimes kwenye dstv alafu upate signal quality na strenght kama ivi.basi nitaacha kazi za kufunga mafishView attachment 1638094
Nenda kafunge iyo startimes kwenye dstv alafu upate signal quality na strenght kama ivi.basi nitaacha kazi za kufunga mafishView attachment 1638094
NdiyoMkuu kumbe wewe ni fundi?[emoji15]
Ndiyo kazi yangu iyoMkuu kumbe wewe ni fundi?[emoji15]
Nasubiri JIBU hapaVipi Dishi la Dstv naweza kufunga kwenye Azam?
Acha kumuongopea ndugu yako.uwezi funga dishi la star times kwenye azam au dstv
Azam, zuku, startimes madish yanaingiliana vizuri kabisa. Labda kwa dstv ndio kuna mtihani kidogo.Acha kumuongopea ndugu yako.uwezi funga dishi la star times kwenye azam au dstv
Dstv complete ni kiasi gani?
Ndiyo kazi yangu iyoView attachment 1638132
Mi natafuta dish la dstv la blue kuna mteja wangu anaitajiNimekubali mkuu sina swali hata ivyo ninayo furaha kukujulisha kuwa nilifanikiwa kupata dish lake tena bureeeee