MySoka
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 209
- 297
Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten ameamua kuweka makucha hadharani baada ya kumtukana LIVE shabiki wa Simba kisa kuambiwa hana akili.
Ten aliweka ujumbe katika ukurasa wa Instagram kwa kusema kuwa "wakati mwingine tunakuzingua ili upate hasira ufanye vizuri, hongereni" na mdau huyo akakomenti kwa kumweleza Ten hana akili.
Baada ya Ten kuona komenti hiyo, hakusita kumjibu palepale kwa kumchana LIVE na akimuuliza shabiki huyo kuwa angekuwa hana akili mama yake angekuwa anakuja kuchukua hela kwake?
Ujumbe huo uliambatana na namba ya simu ya Ten ambayo aliitoa na kumweleza shabiki huyo kuwa akaiangalie kwa mama yake kuwa ameisave kwa jina lipi.