Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara.
Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni mpumbavu tu.
Anapost post ambazo hazihusiani na team ya Yanga baadhi ni matokeo ya Simba aliyogungwa 5-0 vs Al Ahly, draw ya CAF Simba vs TP Mazembe na kikosi cha TP Mazembe kilivyokuwa mbeya