Dismas ten kumbe naye ni mpumbavu tu

Dismas ten kumbe naye ni mpumbavu tu

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara.


Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni mpumbavu tu.

Anapost post ambazo hazihusiani na team ya Yanga baadhi ni matokeo ya Simba aliyogungwa 5-0 vs Al Ahly, draw ya CAF Simba vs TP Mazembe na kikosi cha TP Mazembe kilivyokuwa mbeya
 
Kidole kimoja unamnyoshea Dismasten vinne unajinyoshea mwenyewe...account yake binafsi..angeweka ya @Yangasc kweli ungekuwa mwerevu..labda ana utani na Manara
 
Back
Top Bottom