Dismas ten kumbe naye ni mpumbavu tu

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara.


Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni mpumbavu tu.

Anapost post ambazo hazihusiani na team ya Yanga baadhi ni matokeo ya Simba aliyogungwa 5-0 vs Al Ahly, draw ya CAF Simba vs TP Mazembe na kikosi cha TP Mazembe kilivyokuwa mbeya
 
Pumba,. Wew kashabikie yanga huko, thread waachie wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba,. Wew kashabikie yanga huko, thread waachie wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† KAMA NI PUMBA KAWAPE WALE KUKU MNAOFUGA PALE MTAA WA MSIMBAZI WAZILE, WA MATOPENI MNA SHIDA
 
Anawakumbusha kuwa msitutie aibu za Hamsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagereeeeee..... Anaingiza kichwa hapa kwa yanga... Huwa inaniuma sana nikisikia hili goli.


 
Wewe ndo mpumbavu maana unampangia cha kupost wakati accoùnt nì yake
 
ana cha kufanya maana sasa hivi msemaji mkuu wa yanga ni Zahera matamko yote yanatolewa na zahera kwa hiyo anabaki kupost ujinga ili na yeye aonekane yupo
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…