Dismas ten kumbe naye ni mpumbavu tu

Dismas ten kumbe naye ni mpumbavu tu

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara.

Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni mpumbavu tu.

Anapost post ambazo hazihusiani na team ya Yanga baadhi ni matokeo ya Simba aliyogungwa 5-0 vs Al Ahly, draw ya CAF Simba vs TP Mazembe na kikosi cha TP Mazembe kilivyokuwa mbeya
 
Pumba,. Wew kashabikie yanga huko, thread waachie wengine.
Hivi kumbe siku hizi tunapangiana kupost? Bando lake, simu yake, account yake muache apost anachotaka ili mradi hajavunja sheria

Halafu hicho sidhani kama ni kigezo cha kumuita mtu mpumbavu, amepost kwa matakwa yake.. Sio kila kitu anachopost, mimi na wewe tumuamini au tumuunge mkono

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara.

Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni mpumbavu tu.

Anapost post ambazo hazihusiani na team ya Yanga baadhi ni matokeo ya Simba aliyogungwa 5-0 vs Al Ahly, draw ya CAF Simba vs TP Mazembe na kikosi cha TP Mazembe kilivyokuwa mbeya
Anawakumbusha kuwa msitutie aibu za Hamsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagereeeeee..... Anaingiza kichwa hapa kwa yanga... Huwa inaniuma sana nikisikia hili goli.

Hivi kumbe siku hizi tunapangiana kupost? Bando lake, simu yake, account yake muache apost anachotaka ili mradi hajavunja sheria

Halafu hicho sidhani kama ni kigezo cha kumuita mtu mpumbavu, amepost kwa matakwa yake.. Sio kila kitu anachopost, mimi na wewe tumuamini au tumuunge mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara.

Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni mpumbavu tu.

Anapost post ambazo hazihusiani na team ya Yanga baadhi ni matokeo ya Simba aliyogungwa 5-0 vs Al Ahly, draw ya CAF Simba vs TP Mazembe na kikosi cha TP Mazembe kilivyokuwa mbeya
Wewe ndo mpumbavu maana unampangia cha kupost wakati accoùnt nì yake
 
ana cha kufanya maana sasa hivi msemaji mkuu wa yanga ni Zahera matamko yote yanatolewa na zahera kwa hiyo anabaki kupost ujinga ili na yeye aonekane yupo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom