Dispute over tariffs threatens to derail Kenya SGR cargo service plan

Nchi ishavunda iyo muda tu.. Inataka Huge Reform.. Na Kiongozi Wa kufanya reform hayupo.. Yani kitendo tu cha kujenga Reli ya 80's iko clear hamna leadership apo ni ubabaishaji.. Why build the same rail twice[emoji23][emoji23] hiyo haina Tofaut ya kwanza .. Magufuli akimaliza muda wake huku tutawauzia aje kuwachapa maana nyie bila kuchapwa akili hazitafunguka...

Halafu unatumia nini hapo ulipo maana naona taarifa kwamba mumekatikiwa na umeme nchi yote, ni aibu sana kutunisha misuli kwenye ligi ambayo hamuna uwezo nayo halafu mnaishia kuumbuka kihivi Afrika bana, nchi yote ya Tanzania umeme umekatika
 
First ni lies et nchi Nzima[emoji23][emoji23]

Huku umeme ukikatika Tanesco lazima waombe samahani, na wanatangaza day before maeneo yanayokatika.

One more thing.. Tuko kwenye process ya kuleta umeme usiokatika kabisaaa kwasababu tunatarajia Tz ya Viwanda Vingi na Electric trains.. Ndo maana ukaona kuna ujenzi Wa stiglers gorge itakayotoa zaid ya Megawatts 2100 na mirad mingine mikubwa kama kinyerez 1&2..[emoji23][emoji23]
 
Hiyo sentensi ya 'tuko kwenye process' tumeizoea sana humu.
 
Ile ni Airport ya Dharura[emoji23] In fact watai treat kama military base
Ahaa, tukifanya maamuzi tukiwa na frustration likaonekana ni bomu tunalificha kwenye kichaka cha jeshi eeeh.. Manake hata ile boti ya bagamoyo ilionekana ni a big white elephant tukaambiwa imekabidhiwa huko..sasa nani akahoji?
 
You support terrorism directed towards Kenyans otherwise what are you doing in the Kenyan section of JF talking ill of them Kenyans? You are the few Tanzanians who think that "if' Kenya goes into war or attacked heavily by terrorists, your Tanzania will be able to surpass Kenya Economically.
You are the type of Tanzanians that spend most of their time in JF kenyan section hurling abuses and claiming Tanzania is better than Kenya without providing Concrete evidence. You are among the few most ignorant people in the world I would liken to KKK, Redheads and the NAZI, you got lots of hate towards Kenyans a bitter fact...you love to hate Kenyans whose only mistake is to be in a better country economically. Your hate and bile wount change who we are or what you not. Don't hate the player hate the game bro. Some will say we cook data, some will call us "nyang'aus", some will say our SGR is old and fake but why would you complain if your neighbor marries an ugly old wife? maybe you envy your neighbour and wish you were in his position and that will lead you to even wish catastrophe on him so as to have your neighbor's.
Wakenya Tuliopo hapa tunajua wengi wa watanzania hapa Kenyan section of JF ni wenye chuki na wivu kwa maendeleo ya wakenya...Mara ngapi wameshangilia terrorist attacks on Kenyan people while other nationalities sympathise with us?
Mara ngapi maendeleo ya Tanzania yanaletwa na watanzania Kenyan section for a dick measuring contest?
Mara ngapi Kenyan projects zinabezwa na watanzania wachache hapa Kenyan section JF?

Don't sugarcoat your hate on us sema kwa uwazi "Nawachukia Wakenya and anything Kenyan and ningetaka wapigwe mabomu na al shabaab na pia waingie kwenye civil war ili Tanzania tuipiku Kenya kiuchumi"
Mara ngapi Watanzania wanashabikia misukosuko ya Kenya airways?
Mara ngapi mnashangilia mkisikia WB na IMF zikipatia Kenya Onyo juu ya mikopo?

Tunajua hamptupendi na mmejawa na wivu lakini nasi hatubanduki kuhakikisha kuwa Kenya yetu Tukufu inazidi kupaa kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo for we don't do our thing to compare with others and you will never see us on Tanzania news and politics section hurting and complaining for we are a mature people.
Ni hayo tu kwa sasa, you can go ahead from where you we left you.
Leo umetapika hasira zako zote, pole sana mtani wetu, ila ni kawaida watani hutaniana kwa kuambiana ukweli, usikasirike sana mtani[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WORLD HEAVIEST CHAMPION POVUUUUU.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

First ukisema mi nafanya Nini kwenye Forum za Kenya na Mimi ntakuuliza unafanyann kwenye Hii App[emoji23][emoji23]

Wakenya nyie ndo mnaoongoza kuichukia Tz, hampendii kabisa maendeleo yetu kukuthibitishia hili kina tuchofanya Tz mnasemaga ni cha kwenu mfano Nyerere bridge.. Ukiangalia YouTube utakuta ni Account nyingi za wakenya wanafanya comparison na Tz..

Mmekua mkitu underrate miaka yote kuwa hatujasoma, hatujui English n such[emoji23]

Mnafanya kila njia mtuangushe but the GIANT ndo kashaamka ivyo find somewhere else..Hamieni central Africa uko la sivyo mtalala kwny vitanda vya KAMBA mpk basi[emoji23][emoji23]

Juz tu Bomu lilivyolipuka Huku Tz kila page ya Kenya wakawa wanashangilia walifkir tumevamiwa wengine wakaja mpk kwny page za Tz Ku onyesha hate[emoji23][emoji23]WE'RE YOUR BIG RIVAL na muda ndo umewadia mrudi Central Africa

FACTS
Railway SGR Kenya 500km - Tanzania 0km.

Superhighway Kenya Thika Road 55km - Tanzania 0 km.

National Carrier Kenya Airways(KQ) - Tanzania Confiscated by Canada.

Longest Tarmaced Highway Kenya Moyale Nairobi 788km - Tanzania 0km/NA

International airports 3 Kenya - Tanzania 1 smaller than Mombasa International airport.

Ports Lamu, Mombasa Kenya biggest and busiest in Africa after Durban - Tanzania just a port.

Cities Kenya 3 Nairobi, Mombasa and Kisumu - Tanzania Dar es slum others are TOWNS.
Doctor to patient ratio Kenya 1:10,000 - Tanzania 1: 23,000.

Arable Land Kenya 15% - Tanzania 98%

Kenya Middle Income - Tanzania LCD(according to world bank, IMF and other independent financial bodies)

Sports and athletics Kenya Top long distance runners dominate the world both in Olympics and IAAF, Sevens Hong Kong Champions - Tanzania has non has never had any.
Longest currently existing Railway or Highway Kenya 500km - Tanzania 500meters.

Population Kenya 40million GDP $78billion -Tanzania population 55million GDP $38billion.

Bila povu dispute/ kanusha with facts(numbers) tafafhali.(50 marks).
 
Hapa umeongea kwa mihemko tu[emoji23][emoji23] Find the truth for yourself[emoji23][emoji23]
 
Ahaa, tukifanya maamuzi tukiwa na frustration likaonekana ni bomu tunalificha kwenye kichaka cha jeshi eeeh.. Manake hata ile boti ya bagamoyo ilionekana ni a big white elephant tukaambiwa imekabidhiwa huko..sasa nani akahoji?
Ile sio frustration ndugu, ile watu wamepiga picha ya Mbali, kuna sababu nyingi za kiusalama na kiitelijensia ntakuandikia baadae nikwambie Kwann iko pale..
 
Umeshindwa kuweka facts kama nilivyotarajia na kama ilivyo kawaida yenu.
Hata sasa hamia ule Uzi wa ndugu yenu Barbarosa unaozungumzia Obsession ya watanzania on anything Kenyan mkamshambulie kwa kusema ukweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]some guys here are Kenyans pretending to be Tanzanians..
 
FACTS
Railway SGR Kenya 500km - Tanzania 0km.

Superhighway Kenya Thika Road 55km - Tanzania 0 km.

National Carrier Kenya Airways(KQ) - Tanzania Confiscated by Canada.

Longest Tarmaced Highway Kenya Moyale Nairobi 788km - Tanzania 0km/NA

International airports 3 Kenya - Tanzania 1 smaller than Mombasa International airport.

Ports Lamu, Mombasa Kenya biggest and busiest in Africa after Durban - Tanzania just a port.

Cities Kenya 3 Nairobi, Mombasa and Kisumu - Tanzania Dar es slum others are TOWNS.
Doctor to patient ratio Kenya 1:10,000 - Tanzania 1: 23,000.

Arable Land Kenya 15% - Tanzania 98%

Kenya Middle Income - Tanzania LCD(according to world bank, IMF and other independent financial bodies)

Sports and athletics Kenya Top long distance runners dominate the world both in Olympics and IAAF, Sevens Hong Kong Champions - Tanzania has non has never had any.
Longest currently existing Railway or Highway Kenya 500km - Tanzania 500meters.

Population Kenya 40million GDP $78billion -Tanzania population 55million GDP $38billion.

Bila povu dispute/ kanusha with facts(numbers) tafafhali.(50 marks).
Kuna mambo mengine ambayo umeyasahau, Kenya inaongoza pia katika
1)Umasikini wa kipato 43%
2)Ukabila
3)Unemployment 48%
4)Corruption
5)insecurity
6)Extrajudicial killings
7) Deni la taifa 56%
 
Refer to Barbarosa's thread on Tanzanians' obsession with Kenya.
 
Sorry, kuna nilivyosahau
8)Njaa
9)Slums
10) Ugly women
11)Terrorism
12)Land grabbers

issue ya land tenure inadhirisha wazi ya kuwa nchi ya KENYA ILIUZWA KITAMBO. HOW COMES AN INDIVIDUAL TO OWN LAND IN PERPETUITY. BAD ENOUGH THE FOREIGNER LIKE LORD DALMEDA (I DON'T KNOW IF I SPELT WELL THE NAME). The land is the sovereignty of citizens of a certain country. you can't say this is my country or this is my home without land. land is not only the form of wealth but also a symbol of social value which can not be expressed in monetary term.
Kenyans country has been sold long long time ago this is why they will never stand as a nation with a concrete love and togetherness.
 
Refer to Barbarossa's Post.
 
Back
Top Bottom