Dispute over tariffs threatens to derail Kenya SGR cargo service plan


Halafu unatumia nini hapo ulipo maana naona taarifa kwamba mumekatikiwa na umeme nchi yote, ni aibu sana kutunisha misuli kwenye ligi ambayo hamuna uwezo nayo halafu mnaishia kuumbuka kihivi Afrika bana, nchi yote ya Tanzania umeme umekatika
 
Halafu unatumia nini hapo ulipo maana naona taarifa kwamba mumekatikiwa na umeme nchi yote, ni aibu sana kutunisha misuli kwenye ligi ambayo hamuna uwezo nayo halafu mnaishia kuumbuka kihivi Afrika bana, nchi yote ya Tanzania umeme umekatika
First ni lies et nchi Nzima[emoji23][emoji23]

Huku umeme ukikatika Tanesco lazima waombe samahani, na wanatangaza day before maeneo yanayokatika.

One more thing.. Tuko kwenye process ya kuleta umeme usiokatika kabisaaa kwasababu tunatarajia Tz ya Viwanda Vingi na Electric trains.. Ndo maana ukaona kuna ujenzi Wa stiglers gorge itakayotoa zaid ya Megawatts 2100 na mirad mingine mikubwa kama kinyerez 1&2..[emoji23][emoji23]
 

Hiyo sentensi ya 'tuko kwenye process' tumeizoea sana humu.
 
Ile ni Airport ya Dharura[emoji23] In fact watai treat kama military base
Ahaa, tukifanya maamuzi tukiwa na frustration likaonekana ni bomu tunalificha kwenye kichaka cha jeshi eeeh.. Manake hata ile boti ya bagamoyo ilionekana ni a big white elephant tukaambiwa imekabidhiwa huko..sasa nani akahoji?
 
Leo umetapika hasira zako zote, pole sana mtani wetu, ila ni kawaida watani hutaniana kwa kuambiana ukweli, usikasirike sana mtani[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

FACTS
Railway SGR Kenya 500km - Tanzania 0km.

Superhighway Kenya Thika Road 55km - Tanzania 0 km.

National Carrier Kenya Airways(KQ) - Tanzania Confiscated by Canada.

Longest Tarmaced Highway Kenya Moyale Nairobi 788km - Tanzania 0km/NA

International airports 3 Kenya - Tanzania 1 smaller than Mombasa International airport.

Ports Lamu, Mombasa Kenya biggest and busiest in Africa after Durban - Tanzania just a port.

Cities Kenya 3 Nairobi, Mombasa and Kisumu - Tanzania Dar es slum others are TOWNS.
Doctor to patient ratio Kenya 1:10,000 - Tanzania 1: 23,000.

Arable Land Kenya 15% - Tanzania 98%

Kenya Middle Income - Tanzania LCD(according to world bank, IMF and other independent financial bodies)

Sports and athletics Kenya Top long distance runners dominate the world both in Olympics and IAAF, Sevens Hong Kong Champions - Tanzania has non has never had any.
Longest currently existing Railway or Highway Kenya 500km - Tanzania 500meters.

Population Kenya 40million GDP $78billion -Tanzania population 55million GDP $38billion.

Bila povu dispute/ kanusha with facts(numbers) tafafhali.(50 marks).
 
Siku Kenya ikichafuka EAC yote haitakalika, ila sasa no mwendo was kuhakikisha sisi ndio vinara wa ukanda wote huu.
2007 PEV,mlipochinjana TZ,iliaridhka kivipi upande wa amani?
 
Hapa umeongea kwa mihemko tu[emoji23][emoji23] Find the truth for yourself[emoji23][emoji23]
 
Ahaa, tukifanya maamuzi tukiwa na frustration likaonekana ni bomu tunalificha kwenye kichaka cha jeshi eeeh.. Manake hata ile boti ya bagamoyo ilionekana ni a big white elephant tukaambiwa imekabidhiwa huko..sasa nani akahoji?
Ile sio frustration ndugu, ile watu wamepiga picha ya Mbali, kuna sababu nyingi za kiusalama na kiitelijensia ntakuandikia baadae nikwambie Kwann iko pale..
 
Umeshindwa kuweka facts kama nilivyotarajia na kama ilivyo kawaida yenu.
Hata sasa hamia ule Uzi wa ndugu yenu Barbarosa unaozungumzia Obsession ya watanzania on anything Kenyan mkamshambulie kwa kusema ukweli.
 
Umeshindwa kuweka facts kama nilivyotarajia na kama ilivyo kawaida yenu.
Hata sasa hamia ule Uzi wa ndugu yenu Barbarosa unaozungumzia Obsession ya watanzania on anything Kenyan mkamshambulie kwa kusema ukweli.
[emoji23][emoji23][emoji23]some guys here are Kenyans pretending to be Tanzanians..
 
Kuna mambo mengine ambayo umeyasahau, Kenya inaongoza pia katika
1)Umasikini wa kipato 43%
2)Ukabila
3)Unemployment 48%
4)Corruption
5)insecurity
6)Extrajudicial killings
7) Deni la taifa 56%
 
Refer to Barbarosa's thread on Tanzanians' obsession with Kenya.
 
Sorry, kuna nilivyosahau
8)Njaa
9)Slums
10) Ugly women
11)Terrorism
12)Land grabbers

issue ya land tenure inadhirisha wazi ya kuwa nchi ya KENYA ILIUZWA KITAMBO. HOW COMES AN INDIVIDUAL TO OWN LAND IN PERPETUITY. BAD ENOUGH THE FOREIGNER LIKE LORD DALMEDA (I DON'T KNOW IF I SPELT WELL THE NAME). The land is the sovereignty of citizens of a certain country. you can't say this is my country or this is my home without land. land is not only the form of wealth but also a symbol of social value which can not be expressed in monetary term.
Kenyans country has been sold long long time ago this is why they will never stand as a nation with a concrete love and togetherness.
 
Refer to Barbarossa's Post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…